Nawapongeza ma Doctor wapya wa JF

Nawapongeza ma Doctor wapya wa JF

Sina hakika lakini nadhani udaktari wao ni wa heshima kama wale wabunge wetu kule mjengoni.. Hii inaleta uwiano mzuri sasa kwakuwa si lazima uwe mbunge ndio utunukiwe udaktari huo wa heshima
Napenda kumtambua DR BILGERT
Napenda kumtambua DR HAYA LAND
Napenda kumtambua Dr Lizzy
Napenda kumtambua Dr Matola PhD
Napenda kumtambua Dr. Mariposa

Itifaki imezingatiwa...! Asanteni sana kwa kuitoa JF kimasomaso lakini sio kiroho papo..!
Kuna hawa pia Dr Adam Francis , Dr Adinan, Dr Ahmed Albah-Shahwa , Dr Akili , dr araki , Dr Bill, dr blessed , Dr., Dr. Ng'ida D. Mollel , DR. MWAKABANJE
 
Jf mahali pekee unaweza kuchati na Doctors watu na PhD zao tunao humu.

Jf taifa kubwa, mahali unaweza pata mwenza, msomi mwenye jina kubwa na heshima tele mtaani.

More respect to JF na heshima sana kwako Mshana Jr kwa kutambua hili.
Asante mtani ila nimekuhamu ujue.. Nina safari ya Viziwaziwa....
 
Sina hakika lakini nadhani udaktari wao ni wa heshima kama wale wabunge wetu kule mjengoni.. Hii inaleta uwiano mzuri sasa kwakuwa si lazima uwe mbunge ndio utunukiwe udaktari huo wa heshima
Napenda kumtambua DR BILGERT
Napenda kumtambua DR HAYA LAND
Napenda kumtambua Dr Lizzy
Napenda kumtambua Dr Matola PhD
Napenda kumtambua Dr. Mariposa
Napenda kumtambua Dr Rutagwerera Sr

Itifaki imezingatiwa...! Asanteni sana kwa kuitoa JF kimasomaso lakini sio kiroho papo..!
Acha ubaguzi broo ,kumbe una husda na I'd zingine

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom