Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna hawa pia Dr Adam Francis , Dr Adinan, Dr Ahmed Albah-Shahwa , Dr Akili , dr araki , Dr Bill, dr blessed , Dr., Dr. Ng'ida D. Mollel , DR. MWAKABANJESina hakika lakini nadhani udaktari wao ni wa heshima kama wale wabunge wetu kule mjengoni.. Hii inaleta uwiano mzuri sasa kwakuwa si lazima uwe mbunge ndio utunukiwe udaktari huo wa heshima
Napenda kumtambua DR BILGERT
Napenda kumtambua DR HAYA LAND
Napenda kumtambua Dr Lizzy
Napenda kumtambua Dr Matola PhD
Napenda kumtambua Dr. Mariposa
Itifaki imezingatiwa...! Asanteni sana kwa kuitoa JF kimasomaso lakini sio kiroho papo..!