Umetumwa?Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Afisa masoko wa TTCLNimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Kasi ipi unayoizungumzia?Hapana mkuu voda,tigo airtel na wengine kwa sasa hawana kifurushi cha bei poa kuzidi ttcl nimehamia huku now.
Soon kinarudi. Ni suala la muda tu.Niko huku Namtumbo kwa buku napata gb1.2 mtandao uko fresh
ila wamezingua kutoa kifurushi cha usiku
Apo umepost na vpn umewasha uongo?Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Bila kuwasha vpn,??Kasi ya internet nzuri mfano youtube naangalia video bila kugoma goma kwa ubora wa full hd
Sio kweli.Yah mkuu hapa nilipo nadownload vitu fasta fasta tu sina shaka