zink
JF-Expert Member
- Sep 18, 2021
- 1,208
- 2,352
Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.