Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hapana mkuu voda,tigo airtel na wengine kwa sasa hawana kifurushi cha bei poa kuzidi ttcl nimehamia huku now.
Wewe ni mtumishi wa TTCL unajitekenyaNimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Hiko kifurushi kimebadilishwa kwangu naow napata MB550 tu
Tuwekee Ili tujje kama tuna hama.Natumia pc na modern hapa badae ntaweka muone
Kupitia halopesaHalotel kifurush gani kizuri kwa bei nzuri
Asante mkuuKwa siku 5 unapiga *150*71# kisha chagua vifurushi then chagua tam tam bando utaona
We Ali Kiba utapigwa vidole humu Jamiiforum kusifia ujinga, kuna aliyekutuma?Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Tigo nao washapunguza vifurushi hapo ndo shida
Baadae haijafika tu 😂Natumia pc na modern hapa badae ntaweka muone
Harotel ndio nini?Line yatigo nataman niivunjevunje chifu. Harotel iko slow. Game za mpira hufurahii mzehe, linakwamakwama
Kupitia halopesa
1000 gb1 wiki
3000 gb3 wiki
menu ya kawaida *148*66#
5000 gb 6 wiki