Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mgeni kaja kwako hata hajapumzika tayari umesha anza kumwambia shida zako.. Wabongo bhana
 
Karibu mkuu, ila unatakiwa uwe smart, kujenga hoja , alafu washauri wenzako huko serikalini waje na majina yao halisi sio kwa majina ya kujificha ficha kwenye jukwaa hili, ili pale panapotakika kujadiliana tujadiliane ,na penye spana zinapigwa kweli.
 
Uchaguzi umekaribia karibu sana.Ndiyo msimu wenyewe huu.
 
Mmeanza tiyari!
 
Nianze kwa swali, Ni lini serikali itaanza ujenzi wa uwanja wa Mpira wa Dodoma ? Je serikali inaridhishwa na ligi yetu kuchezwa kwenye viwanja kama majaruba? Na ni upi mkakati wa serikali kuhakikisha msimu huu wa 24/25 ligi inachezwa kwenye viwanja Bora?
 
Karibu sana kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…