Hiyo salamu ninaipinga kwa Jina la Yesu.Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
200 nyingi, mia tu mara 400....una assume wengine hawana hela.Raha kweli kama mwalimu ingekuwa fursa
Kwa idadi hiyo ningehakikisha kila mwanafunzi ananunua karanga zangu kwa 200shs kila siku 😊
Sio tu viongozi hata mimi mwananchi wa kawaida sipeleki watoto wangu.Hapo kunakua hakuna uelewano mzuri, kati ya mwalimu na wanafunzi wake,hivyo kupelekea mwalimu kutofikia malengo aliyokusudia kwa wanafunzi husika.
Nadhani ndiyomaana hata viongozi wengi hawataki kupeleka watoto wao,shule za umma.Madhaifu mengi sana.
Ndugu yangu hii njia uliyochagua kupita ni ngumu sana,,itabidi ukaze,,ila itakusaidia kujua mbichi na mbivuNawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nchi imejaa machawaNawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
Na Nape amesema wazi kabisaSwali la Kwanza kwanini ccm huwa wanaiba Kura?
Ni muda wa Lucas Mwashambwa kuandaa nyuzi za kusifu hawa vigogo na kuzitupia humu moja baada ya nyingine. Mwaka wa uchaguzi huu.Kipindi hiki JF tunapata ugeni mzito mzito tu.....
Karibu supu
Unakaribishwa Karibu Sana kwenye jukwaa hili.Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
Hizi nyuzi lucas angekua anatuma voice note hadi angekua anapaliwa na mate....make kazi aliyonayo 🙌🙌Ni muda wa Lucas Mwashambwa kuandaa nyuzi za kusifu hawa vigogo na kuzitupia humu moja baada ya nyingine. Mwaka wa uchaguzi huu.
🤣🤣🤣🤣Karibu sana kaka!
Nimependa ujasiri wako kujiunga na jukwaa bora kabisa ndani ya Nchi yetu.
Naomba tu uwe na ngozi ngumu maana humu kuna mawe haswa!
Karibu sana
Mnamaanisha nini? Ila viongoz wa siasa za nchi hii wanatudharau sana Watanganyika.Na Nape amesema wazi kabisa