Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.

Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.

20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.

Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.

Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.

Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,
1000004942.jpg
1000005008.jpg
 
Ukweli tutaumia wote na hasa watu wa vipato vya chini ndio maumivu yatakuwa makali sana, hao walio nacho wao wataendelea na maisha yao.
 
Lengo la vikwazo ni ili kuuamsha umma uwaondoe watawala wasiokubalika.
Sio kwa watanzania, ya 29 October na majibu ya watawala yaliyokuwa wakiyatoa dhidhi ya yaleaafa yalitosha umma kuamka. Njaa kwetu haito tuunganisha isipokuwa itazidi kutugawa
 
Mama yenu aliona fahari sana kuuwa vijana wetu na kuificha miili yao. Hatuna mtetezi wala mwenye uwezo wa kutulipia kisasi. Wacha tu misaada ifyekwe tu
Acheni kupotosha,haijafekwa bado rasmi,inatafakariwa,someni mabandiko yao kwanza,
N.b,Tanzania shall solve this!,stay tune....
 
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼 w mataanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬 vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Kwahiyo nyie mnaosababisha nchi inawekewa vikwazo ndo mna akili?
Msiposababisha vikwazo hao wanaoshangilia vikwazo hawatashangilia.
Wenye matatizo ya akili ni nyinyi mnaosababisha hivyo vikwazo.
 
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼 wanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬 vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Na wewe si mnufaika wa mfumo, sasa unaogopa nini?
Miaka 65 hamkuwahurumia hao wananchi leo mkisikia vikwazo ndiyo mnataka kuwahurumia? We subiri mkate mmoja kila mtu atanunua kwa Tshs. bilioni 10
 
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼 wanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬 vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Wao akili yao inawatuma kuwa vikwazo ni kwa ajili yq kumkomoa Samia
 
Mama yenu aliona fahari sana kuuwa vijana wetu na kuificha miili yao. Hatuna mtetezi wala mwenye uwezo wa kutulipia kisasi. Wacha tu misaada ifyekwe tu
Sasa ndo mmeamua kuwamaliza kabisa hao vijana na ndugu zenu kule vijijini kwa vikwazo mlivyoomba
 
Back
Top Bottom