Hawaishi kwa misaada yenu anayopewa. Pesa zote za misaada ndio kina Abduli wananunulia ya mabilioni ya shilingiSasa ndo mmeamua kuwamaliza kabisa hao vijana na ndugu zenu kule vijijini kwa vikwazo mlivyoomba
dawa yao ina chemka gentleman,Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼 wanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬 vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Ndugu zetu huku vijijini wameshazoea ugali kwa dagaa wa chumvi vikwazo vikiwekwa hawatakosa viza wala hawana pesa yeyote kwenye benki za Ulaya kuwa zitataifishwa labda wakose chumvi ndio wataumia.Sasa ndo mmeamua kuwamaliza kabisa hao vijana na ndugu zenu kule vijijini kwa vikwazo mlivyoomba
We fala nini kwahiyo upinzani ndio umesababisha tuwekewe vikwazo.Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼 wanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬 vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Ok. AfadhaliNdugu zetu huku vijijini wameshazoea ugali kwa dagaa wa chumvi vikwazo vikiwekwa hawatakosa viza wala hawana pesa yeyote kwenye benki za Ulaya kuwa zitataifishwa labda wakose chumvi.
Kama ungekuwa na akili angalau kidogo, ungeona wa kupigwa mawe ni hao walioasabisha tuwekewe vikwazo!Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼 wanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬 vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Oooh kweli kabisaHawaishi kwa misaada yenu anayopewa. Pesa zote za misaada ndio kina Abduli wananunulia ya mabilioni ya shilingi
📌Kama vipo vipo tu, swala sio kusherekea au kusikitika. Swala ni kwanini mpaka tumefikia huko kwenye vikwazo. Endelea kushangaa badala ya kutafuta solution
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
Unapoachwa mwenyewe wakati mwingine ni njia ya kukukomaza ili usimame mwenyewe,MImi ni mmoja wapo nayefurahia kuwekewa vikwazo.
Tulikuwa na nafasi ya kuescape hivo vikwazo ,tena vilikuwa kutekeleza vipo 100% ndani ya uwezo wetu lakini tumeshupaza shingo.
Hivi kulikuwa na ugumu gani wa kuwaachia wafungwa wa kisiasa wenye kesi za mchongo? 4Rs inatumika wapi? Lissue kusema tutakinukisha ndiyo uhaini? Mbona yule aliyesema atakata watu vichwa ,na yule aliyesema wakiwapoteza polisi wasiwatafute ,na yule aliyesema ukivujisha siri unaenda kuokotwa ,mbona hawapo ndani?
Kuna ugumu gani wa kukomesha UTEKAJI?
KUna ugumu gani wa kuruhusu uchunguzi huru wa mauaji ya MO29?
Kuna ugumu gani wa kutenda demokrasia nchini?
Nyie wenyewe mmekaza MAKOMWE waache tunyimwe misaada.
Sasa mwabieni Kombo atulize MAKOTA chini na si kwenda kuwalilia wazungu.Unapoachwa mwenyewe wakati mwingine ni njia ya kukukomaza ili usimame mwenyewe,
#vikwazo si adui yetu ni elimu,ni fursa pia,hata toto dogo usipolitembeza dede halitasimama!
But everything shall be solved very soon trust me,Sasa mwabieni Kombo atulize MAKOTA chini na si kwenda kuwalilia wazungu.