Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU..
Naunga mkono hoja, hawa mimi niliwaita ni manunda!. Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

P
 
Hu
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.

Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.

20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.

Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.

Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.

Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173
View attachment 3611315
Huwa nikitafakari aliyokuwa akiyasema Katibu Mwenezi HP enzi zile akiwa kwenye usukani,nikija kwa yule dogo Mdude yule wa Vwawa,nikiangalia mwisho wa mwisho wao wote mpaka kutoonekana kwao kukawa sawa basi ninawadharau nduguze HP hata kama wana lia sasa wao walie tu.
 
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.

Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.

20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.

Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.

Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.

Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173
View attachment 3611315
Ikiwa vipi nawe tutakuwekea kikwazo kwenye pilau la hitima kwako tuone kama utaweza kulila peke yako.
 
Mkuu kuwa serious kdg, yaani yeye awaagize kuua (rejea kauli yake nguvu iliyotumika kuua ilikuwa ni sahihi, akizungumza na wazee wa mchongo Dar) halafu hapohapo awageuke kwa kuwawajibisha?!?!.

..Ni kama ilivyotokea kwa JK na Lowassa.

..walikwiba wote, lakini JK akamtosa mwenzake.
 
Kwani hao wanaokuwekea vikwazo wanafanya nini cha ajabu? In short they tell you, Live your life, we live ours! Kwisha. Wale wanakijiji wa mlimba au malinyi wala hawataona impact maana wao wanaishi kwa “nature”. What is important for them is Salt, river water and land.

Nyie ni kama 20% ndiyo vikwazo mtavisikia, huku Malinyi miili yetu imekuwa na immunity kutegemea nature, CCM hamjawahi kujali hilo, leo nani ataumia kwa vikwazo? Ni nyie.
We jamaa ni fala, mzushi, na muongo!

Nilikwambia uweke hapa ushahidi wa kuwa mimi naishi Detroit ukala kona mazima.

Hahaaaa.

Unajitungia tu mambo halafu unajiaminisha kuwa ni ya kweli.

Stupid lying tether 😂.
 
Back
Top Bottom