Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.

Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.

20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.

Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.

Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.

Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173
View attachment 3611315
Who are you?
 
Who are you?
Am I as you see!
1000005047.jpg
 
Who are you?😂😂😂😂
 
CCM na Samia wawajibike kwa yaliyotokea October 2025 ili tusiwekewe vikwazo. Mbona simple tu.
 
Kwani hao wanaokuwekea vikwazo wanafanya nini cha ajabu? In short they tell you, Live your life, we live ours! Kwisha. Wale wanakijiji wa mlimba au malinyi wala hawataona impact maana wao wanaishi kwa “nature”. What is important for them is Salt, river water and land.

Nyie ni kama 20% ndiyo vikwazo mtavisikia, huku Malinyi miili yetu imekuwa na immunity kutegemea nature, CCM hamjawahi kujali hilo, leo nani ataumia kwa vikwazo? Ni nyie.
Mtakosa dawa au mtasongesha na miti shamba?
 
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.

Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.

20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.

Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.

Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.

Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173
View attachment 3611315
Ningekua mimi nisingeandika upuuzi kama huu, ningeandika sababu za kupelekea kisiwa cha amani kuwekewa vikwazo, ulichoandika ni BLAME GAME yaani umeshindwa kuwa accountable kwa upumbavu wako badala yake unahamishiqa wengine
 
Kwahiyo hivyo vikwazo huwekwa na wanasiasa wenyewe, au raia wa kawaida?
 
::Ufafanuzi rasmi, tu,Ila hushangai wanaopita kwenye uchaguzi bila kupingwa na wanaoshinda kwa %98 sio?View attachment 3611173
View attachment 3611315
Utaahira
 
Ningekua mimi nisingeandika upuuzi kama huu, ningeandika sababu za kupelekea kisiwa cha amani kuwekewa vikwazo, ulichoandika ni BLAME GAME yaani umeshindwa kuwa accountable kwa upumbavu wako badala yake unahamishiqa wengine
Amani hulindwa,wenye uchu na uroho hawakuanza leo toka wakati wa mwalimu,-Alilinda amani hii salama,-
 
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.

Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.

20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.

Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.

Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.

Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173
View attachment 3611315
Unawachukia wanaoshangilia vikwazo? Na wale waliouwa ndugu zetu nasi tuwafanyeje
 
..lawama zinapaswa kwenda kwa Ssh.

..akiwawajibisha waliohusika na mauaji hakuna nchi wala jumuiya itakayotuwekea vikwazo.
Mkuu kuwa serious kdg, yaani yeye awaagize kuua (rejea kauli yake nguvu iliyotumika kuua ilikuwa ni sahihi, akizungumza na wazee wa mchongo Dar) halafu hapohapo awageuke kwa kuwawajibisha?!?!.
 
Back
Top Bottom