Hata amerika kuna wanaolala nje kabisa!...hawana hata sehemu ya kujistiri na ni wamarekani halisi.Mkuu,
Kuna watu sasa hivi wanaishi kama nchi ipo kwenye vikwazo tayari.
Na hivyo hawajali kama nchi itawekewa vikwazo. Hususan kama hilo linaweza kusaidia kuweka mambo sawa.
Unaelewa hilo?
Brainless moron
This is whataboutism.Hata amerika kuna wanaolala nje kabisa!...hawana hata sehemu ya kujistiri na ni wamarekani halisi.
Tena wamesema wazi kabisa "among government officials and Chama Cha Mapinduzi ...".Acha upotoshaji kwa maslahi ya tumbo lako, vikwazo vinavotajiwa vitawafikia pia nyie wanyonya damu
Je unajua maana ya "individual targeted sanctions"?
Kampige mawe mama yako!Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
Ikiwa diplomasia ni ile ya ukandamizaji na ten per huo ni mnaso na hakuna kujikwamua ila kujibana kwa corner zaidi.Can't last longer,diplomasia ya wataalamu wetu italikwamua hili haraka sana.,stay tune
Tuko tayari kwa vikwazo vya magharibi. Hapo ndio sehemu ya kuwadhibitishia watu wasioamini kuwa tuna raslimali. Na uzuri hizo raslimali zetu tutauza Russia na China. Kila siku huwa mnaleta kiburi cha kupora chaguzi huku mkisema tuna raslimali, tuna marafiki wa Asia na upuuzi wa aina hiyo. Sasa mtaonyesha hizo raslimali tulizonazo hadi tuonewe wivu.Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173
Tena tunaona kama vikwazo vinachelewa. Huu ndio muda wa kuwaamsha wananchi mnaowaongopea kuwa tuna raslimali hadi tunaoenewa wivu. Tutakapowaambia wananchi wanateseka ili majizi ya ccm yakae madarakani wote wataingia barabarani yakiitishwa maandamano. Mnalazimisha kukaa madarakani kwa kuua wananchi, kisha mnataka tuwasujudie nyie akili ndogo, wakati wananchi hawawataki.Sasa ndo mmeamua kuwamaliza kabisa hao vijana na ndugu zenu kule vijijini kwa vikwazo mlivyoomba
We pumbu mmeamza kutoa mlio kabla dawa haijawaingia 🤣Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173
Si muuze zile raslimali kwa China na Russia mnazohadaa kuwa tunazo? Ama kwenye ukweli uongo hujitenga?But everything shall be solved very soon trust me,
Mahusiano ya kinchi,siyo sawa na ugomvi wa Juma na zuberi.
Itakuwa lini hiyo?Tena tunaona kama vikwazo vinachelewa. Huu ndio muda wa kuwaamsha wananchi mnaowaongopea kuwa tuna raslimali hadi tunaoenewa wivu. Tutakapowaambia wananchi wanateseka ili majizi ya ccm yakae madarakani wote wataingia barabarani yakiitishwa maandamano. Mnalazimisha kukaa madarakani kwa kuua wananchi, kisha mnataka tuwasujudie nyie akili ndogo, wakati wananchi hawawataki.
Ndio, nitakuwepo tukiuza zile raslimali za nchi mnazosema tunazo. Makhanithi wakubwa nyie.Itakuwa lini hiyo?
Na wewe utakuwepo?
Mechi inakwisha hii,very soon,stay watching....Si muuze zile raslimali kwa China na Russia mnazohadaa kuwa tunazo? Ama kwenye ukweli uongo hujitenga?
Ilikuaje Nyerere akangatukaUkiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
Regime hii ni kiziwi na haijifunzi kwa makosaUkiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Ukifakari mkombozi wa nchi za africa hakuheshimika kwa kiwango cha mfungwa (Mandela) utajifunzq democracy, wisdom and humanity.Wao akili yao inawatuma kuwa vikwazo ni kwa ajili yq kumkomoa Samia