Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
๐ฉ๐ฉ๐ฉIli nyie machawa mteseke muache uchawa.
Lengo la vikwazo ni ili kuuamsha umma uwaondoe watawala wasiokubalika.Ukweli tutaumia wote na hasa watu wa vipato vya chini ndio maumivu yatakuwa makali sana, hao walio nacho wao wataendelea na maisha yao.
Sio kwa watanzania, ya 29 October na majibu ya watawala yaliyokuwa wakiyatoa dhidhi ya yaleaafa yalitosha umma kuamka. Njaa kwetu haito tuunganisha isipokuwa itazidi kutugawaLengo la vikwazo ni ili kuuamsha umma uwaondoe watawala wasiokubalika.
Acheni kupotosha,haijafekwa bado rasmi,inatafakariwa,someni mabandiko yao kwanza,Mama yenu aliona fahari sana kuuwa vijana wetu na kuificha miili yao. Hatuna mtetezi wala mwenye uwezo wa kutulipia kisasi. Wacha tu misaada ifyekwe tu
Hambebeki... Miaka 65 ya uhuru bado ombaomba na mna rasilimali kibao. Wacha akili iwakaeAcheni kupotosha,haijafekwa bado rasmi,inatafakariwa,someni mabandiko yao kwanza,
N.b,Tanzania shall solve this!,stay tune....
Kwahiyo nyie mnaosababisha nchi inawekewa vikwazo ndo mna akili?Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ w mataanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Na wewe si mnufaika wa mfumo, sasa unaogopa nini?Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ wanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Wao akili yao inawatuma kuwa vikwazo ni kwa ajili yq kumkomoa SamiaUkiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili
Niliwahi kufika Zimbabwe ๐ฟ๐ผ wanewekewa vikwazo
Zaidi ya miaka 20 sasa
Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore ๐ธ๐ฌ vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote nakubwa ni yake ikiwemo Champions food 20yrs ago
Wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo
Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari nk
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana
Tanzania ina wanasiasa wasio jitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine
Sasa ndo mmeamua kuwamaliza kabisa hao vijana na ndugu zenu kule vijijini kwa vikwazo mlivyoombaMama yenu aliona fahari sana kuuwa vijana wetu na kuificha miili yao. Hatuna mtetezi wala mwenye uwezo wa kutulipia kisasi. Wacha tu misaada ifyekwe tu