Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

Naunga mkono hoja, hawa mimi niliwaita ni manunda!. Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

P
 
Hu
Huwa nikitafakari aliyokuwa akiyasema Katibu Mwenezi HP enzi zile akiwa kwenye usukani,nikija kwa yule dogo Mdude yule wa Vwawa,nikiangalia mwisho wa mwisho wao wote mpaka kutoonekana kwao kukawa sawa basi ninawadharau nduguze HP hata kama wana lia sasa wao walie tu.
 
Ikiwa vipi nawe tutakuwekea kikwazo kwenye pilau la hitima kwako tuone kama utaweza kulila peke yako.
 
Mkuu kuwa serious kdg, yaani yeye awaagize kuua (rejea kauli yake nguvu iliyotumika kuua ilikuwa ni sahihi, akizungumza na wazee wa mchongo Dar) halafu hapohapo awageuke kwa kuwawajibisha?!?!.

..Ni kama ilivyotokea kwa JK na Lowassa.

..walikwiba wote, lakini JK akamtosa mwenzake.
 
We jamaa ni fala, mzushi, na muongo!

Nilikwambia uweke hapa ushahidi wa kuwa mimi naishi Detroit ukala kona mazima.

Hahaaaa.

Unajitungia tu mambo halafu unajiaminisha kuwa ni ya kweli.

Stupid lying tether 😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…