King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 245
- 342
Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka kujenga timu yao basi wamrudie mchezaji uyo ambae wengi wetu tumemuona na kujua uwezo wake.
Soma Pia:
➡️ Klabu ya KRC Genk 🇧🇪 haijalidhishwa na kiwango cha Winga Elie Mpanzu (22) 🇨🇩 katika majaribio aliyofanya kwa muda wa wiki mbili na nusu na hatasajiliwa
➡️ Mpaka sasa Elie Mpanzu ni Mchezaji huru (Free agent) na hana ofa yoyote mezani kwake
➡️ Winga Elie Mpanzu hana mpango wa kurudi katika klabu ya AS Vita Club 🇨🇩 kuelekea msimu mpya