Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha sio majuha mkuu, wanajua wanachofanya hiyo ni biashara hapo watu wamekula hela safi,Duuuh! Inakuwaje watu ambao ni viongozi na kazi yao ni mpira kila wakiamka wanashindwa kufuatilia vitu vya mpira kama hivi? Pale Simba kuna viongozi majuha sana. Ngoja utamsikia yuko Yanga huyo very soon.
Ayoub anawekwa pembeni huku akiendelea kula mshahara..
Ateba anaingia ,watu wanaishi , si mlitaka mshambuliaji?