Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha sio majuha mkuu, wanajua wanachofanya hiyo ni biashara hapo watu wamekula hela safi,Duuuh! Inakuwaje watu ambao ni viongozi na kazi yao ni mpira kila wakiamka wanashindwa kufuatilia vitu vya mpira kama hivi? Pale Simba kuna viongozi majuha sana. Ngoja utamsikia yuko Yanga huyo very soon.
Hahahahaha hiyo hela ya usajiri lzm iliwe vzr hivyo lolote linawekana, ni wakala tu na viongoziWamuongezee ofa nono tu kijana anatua apa JKN international airport na sio kutupa Usd 200k kule kwa mcameroon
Nitajie wachezaji waCongo wa 5 waliofeli Simba ,,Shida viongozi hawajajua tu kuwa hakuna mchezaji mwnye kipaji wa afrika magharibu akaja uku kwetu wao Target ni nje ya Africa wakishindwa sana basi nchi za kiarabu ukiona mchezaji amaekubali kuja nchi za Chini kwa Afrika ukitoa South Africa basi ujue makapi au kuna 10% kubwa sana tofauti na hawa waCongo wanaamini Tz pia ni mlango wa kutokea AfricaTena ukisema hayo mambo ya vinasaba vya wacongo ndiyo kabisaaa waachane naye. Congo wanaujua mpira, tena sana tu ila hao tuwaachie Yanga tu watambe nao, wakija Simba ni maumivu tu. Ningesema hata Zambia tuachane nao pia. Hao huwa wanarubuniwa kwa angle ya historia za kisiasa.
Vizuri sana MkuuKupitia comments hizi na zingine ktk uzi huu nimejifunza kitu
Mbona point yangu ipo clear. Sijasema ni wabovu nimesema wananunulika kirahisi kwa maana ya kuhujumu timu.Nitajie wachezaji waCongo wa 5 waliofeli Simba ,,Shida viongozi hawajajua tu kuwa hakuna mchezaji mwnye kipaji wa afrika magharibu akaja uku kwetu wao Target ni nje ya Africa wakishindwa sana basi nchi za kiarabu ukiona mchezaji amaekubali kuja nchi za Chini kwa Afrika ukitoa South Africa basi ujue makapi au kuna 10% kubwa sana tofauti na hawa waCongo wanaamini Tz pia ni mlango wa kutokea Africa
Sorry kwa kukuelewa tofauti maana wote tuko kwaajiri ya soka letuMbona point yangu ipo clear. Sijasema ni wabovu nimesema wananunulika kirahisi kwa maana ya kuhujumu timu.
Nakuamini muhasibuYaani unanunua mchezaji takwimu za aibu, anamkatia tamaa kabla hata ya kucheza. Yule Mcameroon sio
Hii tabia ya 10% ndio itaua klabu zetu na soka kwa ujumla mwisho wa siku wachezaji watakuwa wanachukua ata porini uko na kumvesha jezi tu wapige chaoHahahahaha sio majuha mkuu, wanajua wanachofanya hiyo ni biashara hapo watu wamekula hela safi,
Ayoub anawekwa pembeni huku akiendelea kula mshahara..
Ateba anaingia ,watu wanaishi , si mlitaka mshambuliaji?
Congo sio Dar.Uyo Mpanzu hajafeli aseeh tumemuona uwezo wake akiwa As Vita anajua vibaya mnoo
Sawa sawaNitajie wachezaji waCongo wa 5 waliofeli Simba ,,Shida viongozi hawajajua tu kuwa hakuna mchezaji mwnye kipaji wa afrika magharibu akaja uku kwetu wao Target ni nje ya Africa wakishindwa sana basi nchi za kiarabu ukiona mchezaji amaekubali kuja nchi za Chini kwa Afrika ukitoa South Africa basi ujue makapi au kuna 10% kubwa sana tofauti na hawa waCongo wanaamini Tz pia ni mlango wa kutokea Africa
Hahahahaha biashara ya watu hiyo mkuuHii tabia ya 10% ndio itaua klabu zetu na soka kwa ujumla mwisho wa siku wachezaji watakuwa wanachukua ata porini uko na kumvesha jezi tu wapige chao
Kuna,utofauti gani, wachezaji wa Congo wakofamiliar sana na soka letu yaani wameprove ilo na hawaitaji siku nyingi kucope na mazingira.Congo sio Dar.
Huu ndio ukweli sijafichaSawa sawa
Na ndio tukemee vikaliHahahahaha biashara ya watu hiyo mkuu
Hahahahaha ni ngumu maana mashabiki wengi ni hoya hoya ,wasahaulifu, wanadanganyika ki wepesi,Na ndio tukemee vikali
Hahahahaha ni kweli kabisaHuu ndio ukweli sijaficha
Vipi kuhusu wewe binafsi wafurahishwa na vitendo ivo kwa klabu yako ?Hahahahaha ni ngumu maana mashabiki wengi ni hoya hoya ,wasahaulifu, wanadanganyika ki wepesi,
Mwasibu kaupiga mwingi , aheshimiwe kuanzia leo na tunaiomba serikali sikilivu ya Rais Mama Samia Suluhu imhamishe Mhasibu apelekwe ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa maendeleo ya nchi..Kama Mwasibu umesema No, maana yake hakuna mchezaji hapo. Hujawahi kukurupuka wewe kwenye hesabu zako za kihasibu, na hasa kwenye kipengele muhimu cha takwimu.
Aende kwenye,sekta ya usajiri uko ndio amebobea kimahesabu πππππMwasibu kaupiga mwingi , aheshimiwe kuanzia leo na tunaiomba serikali sikilivu ya Rais Mama Samia Suluhu imhamishe Mhasibu apelekwe ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa maendeleo ya nchi..
Yule rasta asiyekuwa na nidhamu hakufuzu majaribio lakini alipokelewaKitendo cha kushindwa majaribio ni ishara pia kuwa labda kiwango au utimamu wake wa mwili hauko sawa. Kila siku tunalilia wachezaji wafanyiwe vipimo na majaribio halafu mnataka kukimbilia mchezaji aliyeshindwa majaribio.