Duh mifano yenu sasa ndiyo huwa inaniacha hoi. Kibu si tayari alikuwa mchezaji wa Simba? Yaani kabisa umekaa ukatafakari ukaja na mfano huo kujibu hoja yangu?
Sorry kwa kukuelewa tofauti maana wote tuko kwaajiri ya soka letu
Ila,apo kwenye kununulika kirahisi tuweke kando mzee mimi sio muhumini wa kuamini ayo maana yalikuwa zamani sana saivi wachezaji wengi ni Profession