PostGE2025 Nawashauri Wajumbe wa Tume ya Maridhiano walioteuliwa na Serikali wakatae uteuzi au wajiuzulu.

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti.

Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe wa Tume ya maridhiano ameomba ulinzi na gari. Gen Z wamemwambia watamtembelea kabla ya trh 912.

Mjumbe hauwawi.
 
Ukweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.

Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.

Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.

Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
 
Unaogopa kufa Karne hii hivi unaakili timamu
 
Kwamba Gez z wana skills na nguvu kuvishinda vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama? Hebu acheni upumbavu wenu
 
Ukweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.

Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.

Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.

Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
Paragraph ya kwanza umeandika ujinga
 
Unafikiri maridhiano yanaweza kufanikiwa yanayoogozwa na serikali? Kama inawezekana ngoja tuone
 
Muuaji anapata wapi haki ya kuunda tume ya maridhiano? Atuambie maridhiano aliyoyaanzisha baada ya kifo cha Magufuli yalikwamishwa na nini? Hatutakubali maridhiano kama sehemu ya kutupumbaza ili tukose mabadiliko ya kweli.
Yale maridhiano ndio yalimmaliza Mbowe kisiasa. Imagine baada ya mazungumzo ya mwaka mzima CCM wanaandika tu barua moja kuwa mapendekezo yote ya CHADEMA wameyakataa!! Just like that maridhiano yakaishia hapo.

Hawa sio wa kuwaamini, ni bora tu waendelee kukaza shingo hii pressure cooker waliyoitengeneza italipuka kuanzia ndani ya CCM kuja nje.
 
Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea
Hili halipo, if anything either itawekwa curfew hata siku moja kabla otherwise yatakua "controlled" demonstration na yenye amani kama tu yale ya chadema mwaka jana kudai katiba (hakuna aliyekufa).

Kwa yaliyotokea MO29 sidhani kama CCM inaweza risk kuongeza matatizo zaidi.
 
Ikiwa hivyo yatafanikiwa, maana kuna watu wengi zaidi watahamasika kujitokeza.

Point yangu ni kwamba, wananchi wana jambo lao, lakini kuna wahuni walio kinyume na serikali ambao wanaweza kupitia humo humo ili kuchonganisha zaidi serikali na wananchi.
 
Tension iliyopo sasahivi sio sawa na miaka iliyopita. Viongozi wa nchi wameshtuka kwamba, kumbe kitu kibaya kinawezakutokea tofauti na mwanzo.
Kitendo cha Jeshi kuingilia kati maana serikali ilikua imeshaanguka ila na jua wana viburi sana hawawezi kusikiliza ya Arabu spring uliona? Libya ilipuuza wakajikuta hawana nchi Ukiona jeshi limeingilia uchaguzi wa ndani na mauji kama aya Jua serikali imeshaanguka imebaki kubebwa na Vyombo vya dola
 
Ukweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.

Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.

Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.

Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
Gen Z wanatumika na nani boss? Kama ni rahisi hao Gen Z kutumika kama mnavyotaka kuhadaa, mbona hatuwaoni wakijazana kwenye mbio za mwenge ambazo huwa wanahamasishwa, na hawana hatari yoyote ya kupoteza maisha? Hili neno kutumika, na juzi mwizi wa uchaguzi na umwagaji damu kaja na hadaa nyingine ya kufuata mkumbo, mbona hawawatii wao wanaowahubiria kuwapa maisha bora? Yaani mmefanya hao vijana ni wajinga wao wanafuata tu bila kupima wanachoambiwa!

Kama hao Gen Z wanafuata mkumbo tu bila kujiuliza, chukua vijana kumi kisha wachagulie wenza mke/mume uone kama watatii. Acheni kutaka kuficha ukweli wa tatizo kwa nadharia za upotoshaji. Safari hii vijana watajitokeza tuone kama watauwawa tena.
 
Yale maridhiano ndio yalimmaliza Mbowe kisiasa. Imagine baada ya mazungumzo ya mwaka mzima CCM wanaandika tu barua moja kuwa mapendekezo yote ya CHADEMA wameyakataa!! Just like that maridhiano yakaishia hapo.

Hawa sio wa kuwaamini, ni bora tu waendelee kukaza shingo hii pressure cooker waliyoitengeneza italipuka kuanzia ndani ya CCM kuja nje.
Angalia pia maridhiano ya Zanzibar yalivyoziua CUF na ACT.
 
Back
Top Bottom