Kwamba Gez z wana skills na nguvu kuvishinda vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama? Hebu acheni upumbavu wenu
Nyie endeleeni tu kupanua midomo yenu michafu inayonuka kukebehi na kudharau wenye nchi yao, wananchi...
Hata yaliyotokea MO29 ni kwa sababu ya kauli za kijinga, dharau, kifedhuli na kubehi dhidi ya wananchi toka kwa baadhi ya viongozi wajinga na wapumbavu wachache wa serikali akiwemo bibi yenu Samia, Chalamila, Jumanne Muliro na machawa wao..
Endelea kudhani Kuna kitu kinachoitwa "serikali" kinaweza kuishinda NGUVU YA UMMA a.k.a PEOPLE'S POWER...
Kwanza nakuona mjinga tu, kwa kuwa, hata hujui hata maana ya serikali ambayo vyombo vya vyombo serikali ni instruments za kiutendaji za serikali...
Kama ulikuwa hujui ni kuwa,
SERIKALI maana yake ni:
Kikundi kidogo cha watu kilichopewa nguvu na mamlaka ya kiutendaji na wananchi/umma ili kusimamia na kuendesha shughuli za siku kwa siku za taifa/nchi...
Kwa kifupi "serikali" ni mwajiriwa wa wananchi wenyewe. Wakati wowote wakiona kuwa serikali walioiweka hakidhi matarajio yao, basi wanaweza kuitoa na kuiweka nyingine...
KWA HIYO: Hii yetu iliyopo sasa chini ya Samia na CCM hatuitaki kwa kuwa haiko hapo kwa ridhaa yetu, imejiweka kinguvu kinyume cha utaratibu. IPENDE AU ISIPENDE, NI LAZIMA IBWAGE MANYANGA NOW SIO KESHO!!
Si unasema hatuwezi kuitoa, au siyo..?
Hebu tuwaone kama wanaweza kusambaa nchi nzima kumlinda;
1. Wabunge wa CCM na mali zake, na watoto wake...
2. Viongozi wote wa serikali RCs, DCs, Mawaziri, maRPCs, OCDs, familia zao, biashara zao na washirika wao kibiashara...
3. Wasambae tuone kama mtaweza kulinda mali na miunfombinu yote ya serikali; mashule, hospitali, majengo ya umma, shule, mahakama, reli, stendi za mabasi nk...
##Kama mlishindwa kujilinda 29/10 mtaweza vipi kujilinda na kulinda familia zenu tarehe 9/12...?
ACHENI KUZIWEKA FAMILIA NA MALI ZA POLISI WETU HATARINI MAANA WANANCHI WENYE HASIRA WATAWAMALIZA KWA HAKIKA..!