- Thread starter
- #41
Bado wanafanya siri wanapima upepo lkn mengine yameanza kuvuja.Majina yako wapi mkuu?
Bado wanafanya siri wanapima upepo lkn mengine yameanza kuvuja.Majina yako wapi mkuu?
Mmmh mbona hii kamati ya maridhiano haijatangazwa sehemu yeyote au kitengo wanapima upepo?Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama walivyowatembelea wasanii wasaliti.
Askofu Mbilu kutoka Lushoto Tanga wa Kanisa la KKKT ni miongoni mwa wajumbe wa Tume ya maridhiano ameomba ulinzi na gari. Gen Z wamemwambia watamtembelea kabla ya trh 912.
Mjumbe hauwawi.
Gen Z wana nguvu ya umma na maarifa pia.Jibu Hilo swali ...je gen z wana maarifa kuliko vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama?
Kama hujajua, kuna wahuni wa kwenye mfumo, na wahuni ambao wapo nje ya mfumo. Ni kama magenge mawili tofauti.Hii misamiati bado unafikiri haieleweki?
"Wahuni" ni akina nani, watu wanaodai HAKI, unawaita wahuni badala ya hao wanaong'ang'ania madaraka kiasi cha kuua waTanzania wengi kiasi hiki?
Hapa unazungumzia serikali ipi,hasa!
Unapojikaza na kufuta akilini mwako kuona uovu unaofanywa na hawa watu, na kutafuta visababu vya kuwatetea, wewe mwenyewe unajiweka kwenye hali isiyo ya haki.
siku ndugu au jamaa yako wa karibu, akitoweka na alikuja kuchukuliwa na vyombo hivyo vya usalama, asionekane tena na usipate ufafanuzi kutoka vyombo hivyo, apo tutaongea lugha mojaKwamba Gez z wana skills na nguvu kuvishinda vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama? Hebu acheni upumbavu wenu
Sasa kwa kuwa wewe uliwaona hao 'wahuni' ambao hata hujataja hata mmoja, ndiyo iwe sababu ya waTanzania kupigania haki zao?Kwani ni viongozi wangapi wa kisiasa ambao mwanzo tuliona wanadai haki na waka mobilize watanzania kufight serikali alafu baadae tukajua ni wachumia tumbo?
Nguvu ya umma? Umma upi huo ? Kwamba Wana maarifa kuliko jeshi lililopigana na Uganda?Gen Z wana nguvu ya umma na maarifa pia.