Unaogopa kufa Karne hii hivi unaakili timamuUkweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.
Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.
Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.
Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
Kwamba Gez z wana skills na nguvu kuvishinda vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama? Hebu acheni upumbavu wenuUkweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.
Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.
Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.
Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
Paragraph ya kwanza umeandika ujingaUkweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.
Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.
Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.
Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
Unafikiri maridhiano yanaweza kufanikiwa yanayoogozwa na serikali? Kama inawezekana ngoja tuoneUkweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.
Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.
Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.
Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
Yale maridhiano ndio yalimmaliza Mbowe kisiasa. Imagine baada ya mazungumzo ya mwaka mzima CCM wanaandika tu barua moja kuwa mapendekezo yote ya CHADEMA wameyakataa!! Just like that maridhiano yakaishia hapo.Muuaji anapata wapi haki ya kuunda tume ya maridhiano? Atuambie maridhiano aliyoyaanzisha baada ya kifo cha Magufuli yalikwamishwa na nini? Hatutakubali maridhiano kama sehemu ya kutupumbaza ili tukose mabadiliko ya kweli.
Hili halipo, if anything either itawekwa curfew hata siku moja kabla otherwise yatakua "controlled" demonstration na yenye amani kama tu yale ya chadema mwaka jana kudai katiba (hakuna aliyekufa).Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea
Tension iliyopo sasahivi sio sawa na miaka iliyopita. Viongozi wa nchi wameshtuka kwamba, kumbe kitu kibaya kinaweza kutokea tofauti na mwanzo.Unafikiri maridhiano yanaweza kufanikiwa yanayoogozwa na serikali? Kama inawezekana ngoja tuone
Ikiwa hivyo yatafanikiwa, maana kuna watu wengi zaidi watahamasika kujitokeza.Hili halipo, if anything either itawekwa curfew hata siku moja kabla otherwise yatakua "controlled" demonstration na yenye amani kama tu yale ya chadema mwaka jana kudai katiba (hakuna aliyekufa).
Kwa yaliyotokea MO29 sidhani kama CCM inaweza risk kuongeza matatizo zaidi.
Akipata hivyo, Gen Z ndiyo watatulia?...ameomba ulinzi na gari.
Kitendo cha Jeshi kuingilia kati maana serikali ilikua imeshaanguka ila na jua wana viburi sana hawawezi kusikiliza ya Arabu spring uliona? Libya ilipuuza wakajikuta hawana nchi Ukiona jeshi limeingilia uchaguzi wa ndani na mauji kama aya Jua serikali imeshaanguka imebaki kubebwa na Vyombo vya dolaTension iliyopo sasahivi sio sawa na miaka iliyopita. Viongozi wa nchi wameshtuka kwamba, kumbe kitu kibaya kinawezakutokea tofauti na mwanzo.
Gen Z wanatumika na nani boss? Kama ni rahisi hao Gen Z kutumika kama mnavyotaka kuhadaa, mbona hatuwaoni wakijazana kwenye mbio za mwenge ambazo huwa wanahamasishwa, na hawana hatari yoyote ya kupoteza maisha? Hili neno kutumika, na juzi mwizi wa uchaguzi na umwagaji damu kaja na hadaa nyingine ya kufuata mkumbo, mbona hawawatii wao wanaowahubiria kuwapa maisha bora? Yaani mmefanya hao vijana ni wajinga wao wanafuata tu bila kupima wanachoambiwa!Ukweli mchungu ni kwamba hao Gen Z wanatumika tu, na kwasababu ya immaturity wala hawawazi mara mbili.
Changamoto itakayokuja huko mbeleni ni kuwadhibiti baada ya mission kukamilika. Hilo pia watu hawawezi kulifikiri.
Kama vijana wakiandamana 912, kunaweza kufanyika mauaji makubwa zaidi kuwahi kutokea, na mengi kati ya hayo yatafanywa na watu ambao hawajatumwa na serikali ili kuchochea hasira za wananchi. Maana reaction ya wananchi imeonekana wazi kwa kile kilichofanywa Mo29.
Nasikitika pia serikali nayo imekuwa kama sikio la kufa. Bado wanatumia trick za kitoto sana ambazo pia zinachochea hasirana sio kusolve situation ikiwamo vitisho ambavyo havisaidii
Angalia pia maridhiano ya Zanzibar yalivyoziua CUF na ACT.Yale maridhiano ndio yalimmaliza Mbowe kisiasa. Imagine baada ya mazungumzo ya mwaka mzima CCM wanaandika tu barua moja kuwa mapendekezo yote ya CHADEMA wameyakataa!! Just like that maridhiano yakaishia hapo.
Hawa sio wa kuwaamini, ni bora tu waendelee kukaza shingo hii pressure cooker waliyoitengeneza italipuka kuanzia ndani ya CCM kuja nje.