technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mimi sijawai na sitawai kuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia Kaburini Ila ccm ikifanya vizuri tuwapongeze.
Uchaguzi uliofanyika jana kiukweli nimeupenda kwa kuwa na sifa moja tu.
Kutengenisha kitu kinaitwa Mpira na Siasa kutengenisha sector ya Habari na Siasa, pia naiomba ccm waende mbali zaidi watutenganishie mziki na Siasa ikiwapendeza biashara na siasa.
Ingawa kwenye biashara Kuna ugumu toka baba wa Taifa aondoke.
Kitendo Cha kuwapiga chini Manara, Vunja bei , Shaffi Dauda na Harse Kapinga ni Cha kupongezwa kwa 100%.
Ndio maana nchi hii machawa hawaishi watu wanajipendekeza pendekeza hawaishi mtu anajificha kwenye jambo fulani ili akuze jina lake watu wanamwamini kumbe pale alipo Kuna kitu anakitafuta kwa kuwa mnafiki.
Ukiangalia Manara na Dauda wote wamefungiwa kufanya Shughuli za Mpira Lakini angalia kwa kujua kabisa ni wanachama wa ccm juzi walikuwa Qatar kwenye kombe la dunia Sasa unajiuliza Hawa nani anawakingia kifua kumbe ni baadhi ya watu ndani ya CCM kwa sababu ni makada?
Wajumbe wa CCM nawapongeza Sana lazima tutengenishe Siasa na mpira, Siasa na taaluma ya Habari kwa kuwa na watu ambao sio wachumia tumbo na wasaka fursa.
NEC ni taasisi nyeti Sana inampitisha Rais wa jamuhuri ya muungani wa Tanzania inatakiwa kuwa na watu makini sio watu wanaotanguliza maslahi yao na wanao weza kuhongwa na wagombea.
Hongera CCM Hongera wajumbe.