Fatma Abrahman1
Member
- May 11, 2020
- 41
- 42
Sio ndani kwenye haja kubwa hapana ni matakoni makalion nnapokaa ndo inafanya hivyo n hizo dawa za fangus nimetumia nyingi lakni bdoItakua fungus hiyo
Kwakeli sijakalia figa lolote ilianza kam vipele vipo round vidog dogo sanaIlikuaje ukaanza kuwashwa makalio maana kila kitu kina sababu!
Wengine wanawashwa kwasababu wamekalia figa moja la jikoni, sasa wewe ilikuaje muwasho ukakuamza makalioni ili iwe rahis kujibiwa ufanyaje
Pole.Kwakeli sijakalia figa lolote ilianza kam vipele vipo round vidog vidogo sana
Nilienda wakanambia kuwa nikae mwezi mzima bila kutumia dawa sasa siwezi tatizo ninawashwa sana hadi najichubua n kujitoa damuPole.
Ushaenda hospital kucheki damu kama ni safi ili kama siyo wakupe dawa za kusafisha? Mana damu ikiwa haiko sawa unaweza tokewa na kipele na mwishowe kua vipele vinavyowasha..Dawa hizo ni za kuhara, zinasafisha damu...
Hebu picha tuone aina za hizo shilingi tu suggest tiba.Habari zenu jamani naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nmefanya kama mashilingi ni mwezi wa6 sasa npo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakin hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie
Mpaka nimemaliza dawa zinaitwa loratadine juzi ambazo nimemeza mwezi mzim na bdo hakuna nafuuPole.
Ushaenda hospital kucheki damu kama ni safi ili kama siyo wakupe dawa za kusafisha? Mana damu ikiwa haiko sawa unaweza tokewa na kipele na mwishowe kua vipele vinavyowasha..Dawa hizo ni za kuhara, zinasafisha damu...
Umepima allergies ile ukifika hospitali wanakuchanja na sindanoNilienda wakanambia kuwa nikae mwezi mzima bila kutumia daw sasa siwez tatizo ninawashwa sana hadi najichubua n kujitoa damu
Nilienda nkapewa hizo dawa za minyoo nikala saiv ni mwezi wa pili toka ninyweNi muda gani hujanywa dawa za minyoo?
Nenda hospital kwa vipimo na ushauri.
Kila nikiend wananiambia ni ugonjwa wa ngozi hata walifikiri nimepata kaswendwe lakini nilipima sina na wala ukimwi sinaHospitali daktari kasemaje?
Jaribu kubadili madaktari au hospitali.Kila nkiend wananiambia ni ugonjwa wa ngozi hata walifikiri nimepata kaswendwe lakini nilipima sina na wala ukimwi sina
Nimefanya hivyo ila daw napew zlezleJaribu kubadili madaktari au hospitali.
Pole sana aisee.View attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman