bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
Kama upo Tanga shauriana na Daktari wako kuhusu hizi dawa..mimi sio daktari.Pole mkuu.
Nenda Hospitali onana na specialist wa magonjwa ya ngozi.
Sijajua uko wapi, kama uko Dsm kaonane na Profesa Mgonda...
Ila hizo dawa zilinisaidia kipindi flani nilikuwa mgongo unawasha.
Profesa mgonda alinipa hizo dawa nimetumia tatizo limeisha sasa mda.
Hiyo ndefu ni cream unapakaza na hilo boksi lingine vidonge unameza kwa siku kimoja.
Nasisitiza shauriana na daktari wako kwanza huko ulipo kuhusu hizo dawa.
Pole.
Sent using Jamii Forums mobile app