Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Pole sana. Kama utatumia kwa muda mrefu dawa ambazo wachangiaji wamekuelekeza naomba ukacheki tatizo la ngozi ugojwa uitwao "Lichen Planus" na takuunganisha na Dr mmoja yuko KCMC ndugu yangu alisumbuka sana lakini wazazi walimpeleka na ameshapona japo kila kitu walinishirikisha nikiwa mbali kutafuta maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sio tabibu lakini nitakupa ushauri, usile aina ya chakula chochote kilichopikwa na mayai pamoja na yai lenyewe, jaribu kwa wiki moja uangalie kama muwasho utapungua na kama haukupungua basi jaribu usitumie maziwa pamoja na cakula kilichochanganywa maziwa, ikiwa hali haitobadilika jaribu kutokula chakula kilichotayarishwa na ngano.

Hatua ya mwanzo ni kutokula mayai pamoja na chakula kilichotayarishwa na mayai
InshaAllah Mwenyeezi Mungu atakupa aafu.

Mwisho ukiwa hukupata nafuu, wasiliana na Mzizi Mkavu
 
Hali yako inakaribiana sana na fungus.....jaribu aloe Vera jani lile unakata unaponda maji unajipaka, pia jaribu mafuta ya nazi unajipaka huvai nguo ya ndani unaacha upate na hewa utaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fatma pole sana.mi nilikuwa na tatizo kama lako miaka miwil imepita tena bora hata ww (nmeangalia pcha ulotuma)Mimi ilikuw jua tu likiwaka mwili ukianza kupata joto nawashwa hadi damu inatoka...
Jaribu kumuulizia hayo majani mkuu ili umuelekeze pengine yatamsaidia pia
 
Au nenda Reflexiology Treatment Centre, iko Mbezi Tangi Bovu
 
Back
Top Bottom