Fatma Abrahman1
Member
- May 11, 2020
- 41
- 42
- Thread starter
- #121
ShukranPole sana aisee, Mwenyezi Mungu atalisimamia dawa itapatikana utajitibu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukranPole sana aisee, Mwenyezi Mungu atalisimamia dawa itapatikana utajitibu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante
Chupi za mtumba unavaa au tight?Sina hiyo tabia ya kuvalian nguo na mtu kabisa yani
Habari zenu jamani,
Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
Tetmosal Ingawa Ni Kali SanaNnaoga n detol siku zote labda ni sabuni gani waweza nishauri
Achukue Huu Ushauri Wako Akufanyie KaziHuu ugwanjwa ni mateso sana
Nilipata ushauri humu ndani natumia Septrin vidonge kumi nasaga nachanya na mafuta ya kupaka Petroleum Jelly napata mkorogo safi kisha napakaa sehemu husika matokeo mpaka sasa naona ni mazuri ,dose ninayomeza ni Grisactin
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hiyari yake kwani mimi sikujiuliza baade ya kumaliza chupa mmoja ya Ketoconazele bila mafaniki japo palipoa kuwasha.Achukue Huu Ushauri Wako Akufanyie Kazi
Unajua Kama Huna Shida Yote Sawa Sawa
LakiniMgonjwa Anaweza Kufanya Lolote Ili Apate Tiba
Siyo inaonekana manake kama ni mashiringi that is typical fungal infection na inaitwa tinea corporis au body ringworm...atumie tu what ulichomshauri apo juu mkuuHiyo inaonekana kama fungus. Jaribu kutumia Clotrimazole cream au Whitfield's ointment. Pia unaweza ukachanganya na ya kumeza kama tatizo lina mda mrefu e.g. oral fluconazole
Vitu vingine ni vipo clear kama ni mashiringi that's fungal brouh na na STG inatoa miongozo kaka lakini kutumia antibiotics itategemea na state ya infection sababu zinaweza kuwa infected na staphylococcus aureus ambaye ni normal flora kwenye outer skin akaleta Shida...na hapo ndo role ya antibiotic inapoingia na siyo kila antibiotic inampiga aureus zipo zinajulikana na unatumia tu kama prophylaxis kuzuia secondary bacterial infection wakati anatumia antifungal regimes basi mambo yanakaa vizurikutana na specialists wa magonjwa ya ngozi.full stop.vinginevyo utumiaji wa hizi antibiotics unaweza kukuharibia hata figo au ini maana umetumia dawa muda mrefu.
Dah pole sana mkuu, kuna magonjwa mengine ya ajabu sana.View attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Mimi pia nilipatwa na challenge ya kutoka vipele makalioni na mapajani ilikuwa vinawasha sana nilikuwa mikono nilikuwa nashinda nimeweka ndani ya suruali kujikuna tu ukivikuna vinatoka maji maji tu.Naomba unitumie hata picha ya hayo majani ndugu yangu niyatafute au ukijua jina