Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Pole sana mķuu ilo tatizo nakushauri upambane nalo kwa miti shamba litatoka tu niliwahi kuwa na mdada na ana experience hio situation haswa anapokaa hivo ilimpa tabu sana ila alipambana akapona kwa dawa za miti kama nitampata nitakujulisha aniambie alitumia nini mana sasa ni X
 
Ila pia Bi. Fatma ujifikirie juu ya mwenendo wako wa maisha hapo kabla, endapo tako lako ulilitumia kama silaha ya kuiba waume za watu pengine kuna waja wametumia mziziology kukukomesha.

Michezo hio kwa Tanga sio kitu cha ajabu.
Astaghfirullah mungu atanisamehe kwa tako gani nililokuwa nalo hadi niibe hao wanaume za watu dah jamn kwanza kaka angu mimi sina shida ya mume wa mtu kabisa.

Na namuogopa huyo mume wa mtu siwezi na Mungu ananiona na mimi nafunga Ramadhan subhanna Allah niibe mume wa mtu jamn
 
Pole Sana Kwa Kuumwa
Unaumwa Sana Yaani Unahitaji Msaada Haraka
Hapa Utapona
 
Astaghfirullah mungu atanisamehe kwa tako gani nililokuwa nalo hadi niibe hao wanaume za watu dah jamn kwanza kaka angu mimi sina shida ya mume wa mtu kabisa.

Na namuogopa huyo mume wa mtu siwezi na Mungu ananiona na mimi nafunga Ramadhan subhanna Allah niibe mume wa mtu jamn
Mashaallah kama umeishika dini. Mungu atakufanyia wepesi Inshaallah.
 
Habari zenu jamani,

Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
Sina maneno mengi tafuta mgomba unaanza kuchanua kutoa watoto asubuhi chini mgomba utaona vimeanguka okota kadri uwezavyo tafuta chungu au kigae weka jikoni vikaange mpaka visagake vitakua vyeusi chukua unga wako changanya na mafuta ya nazi orijino ila mchanganyiko uwe mzito kidogo paka sehemu ulizo athirika asubuhi na jioni kama usipo pata nafuu kwa siku 7 uje ukanushe hapahapa.

Habari zenu jamani,

Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
Sikia nakupa dawa ya asili ila usichanganye na ya hospitali jaribu kwa siku 7 alafu uje kutoa ushuhuda hapa uku tayali au ushapata tiba!
 
Sina maneno mengi tafuta mgomba unaanza kuchanua kutoa watoto asubuhi chini mgomba utaona vimeanguka okota kadri uwezavyo tafuta chungu au kigae weka jikoni vikaange mpaka visagake vitakua vyeusi chukua unga wako changanya na mafuta ya nazi orijino ila mchanganyiko uwe mzito kidogo paka sehemu ulizo asilika asubu na jioni kama usipo pata nafuu kwa siku 7 uje ukanushe hapahapa...
Saw nipe
 
Back
Top Bottom