Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Kws
Unaweza kunitumia picha ya tatizo Pm nione ni changamoto gani, ?? Pengine naweza kukushauri natural remedies za kukusaidia. Maana naona umetumia sana antifungal na antibitiocs bila mafanikio.
NB:nipo serious

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kunitumia picha ya tatizo Pm nione ni changamoto gani, ?? Pengine naweza kukushauri natural remedies za kukusaidia. Maana naona umetumia sana antifungal na antibitiocs bila mafanikio.
NB:nipo serious

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa avatar yako na picha ya tatizo la Fatma simshauri akufwate inbox....!
 
fatma pole sana.mi nilikuwa na tatizo kama lako miaka miwil imepita tena bora hata ww (nmeangalia pcha ulotuma)Mimi ilikuw jua tu likiwaka mwili ukianza kupata joto nawashwa hadi damu inatoka.nikikaa muda mrefu nawashwa ,nikimaliza kuoga nawashwa hatari,nikilala nawashwa ,hii hali ilipekekea nikawa najitenga na watu...
Umelitendea haki jukwaaa, hakika naamini utakuwa unemsaidia hata kumpa matumaini

Sent
 
Pole sana. Endelea kumsikiliza daktari wako kwanza kabla hujachanganya mambo. Akishindwa toka huko tanga watu husafiri kutafuta tiba.

Sehemu kama SUA morogoro kuna wataalamu pia wa ngozi anakuangalia halafu anakutengenezea dawa.

Kuna rafiki yangu aliwahi umwa ugonjwa wa ngozi akianza kuwashwa anachukua mpaka kitana ajikune akahangaika na madawa ya kila namna lakini hakupona.

Alienda kuponea SUA. Daktari alimuangalia akajua ni aina gani ya ugonjwa akamtengenezea dawa ipo kama lotion akapaka siku 3 tu ameshasahau kama alikua na ugonjwa huo.
 
Pole sana mkuuu, naomba unitumie Picha saizi niwezeze kutofautisha kama ni Fungal infection au ni Eczema?

Alafu unisaidie hapa..hiyo hali ina muda gan? Madawa gan umetumia mpaka sasa na kwa muda gan?

Iyo Loratidine ni antihistamine kazi yake ni kuondoa muwasho na kukupunguzia kujikuna, lkn haitibu chanzo cha muwasho huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu jamani naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nmefanya kama mashilingi ni mwezi wa6 sasa npo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakin hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie
Ni sehemu gani katika makalio, sio tunduni?
 
Ila pia Bi. Fatma ujifikirie juu ya mwenendo wako wa maisha hapo kabla, endapo tako lako ulilitumia kama silaha ya kuiba waume za watu pengine kuna waja wametumia mziziology kukukomesha.

Michezo hio kwa Tanga sio kitu cha ajabu.
 
Back
Top Bottom