Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Umepima allergies ile ukifika hospitali wanakuchanja na sindano

Lakini pia cheki kama unaoga maji ya baridi itumie ya moto

Pia eneo unaliishi mazingira yakoje je ni joto au baridi etc
Hizo sindano za allergy nimechoma mpaka wamenmbia nisichome tena zitanletea matatizo mkubwa
 
fatma pole sana. Mimi nilikuwa na tatizo kama lako miaka miwil imepita tena bora hata ww (nmeangalia pcha ulotuma) Mimi ilikuw jua tu likiwaka mwili ukianza kupata joto nawashwa hadi damu inatoka.

Nikikaa muda mrefu nawashwa ,nikimaliza kuoga nawashwa hatari,nikilala nawashwa ,hii hali ilipekekea nikawa najitenga na watu.mana nikiwashwa najikuna hadi ngozi inatoka.kuna majani Fulani hivi nilielekezwa (siyafaham kwa jina) unachuma unakuwa unasugua matakoni mpaka yanatoa majimaji,

Sasa hayo majimaji yanawasha yanawasha had unataman kulia ila baada ya kama week ivi palikauka michirizi yote ikaisha kukabak weusi nikaambiwa ninunue sonademu kuondoa weus na kwel saiv ilo tatizo nilipona na Niko fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu.

Nenda Hospitali onana na specialist wa magonjwa ya ngozi.

Sijajua uko wapi, kama uko DSM kaonane na Profesa Mgonda.

Profesa Mgonda anapatikana Aga Khan nahisi pia yupo katika hospitali zingine ila sina uhakika na wapi.

Aga khan kidogo ni gharama kumuona, kama utampata akiwa hospitali za serikali atakuona kwa bei rahisi.

Narudia pole sana mungu atakusaidia utapona.

Kamuone Profesa Mgonda haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fatma pole sana.mi nilikuwa na tatizo kama lako miaka miwil imepita tena bora hata ww (nmeangalia pcha ulotuma)Mimi ilikuw jua tu likiwaka mwili ukianza kupata joto nawashwa hadi damu inatoka.nikikaa muda mrefu nawashwa ,nikimaliza kuoga nawashwa hatari,nikilala nawashwa...
Naomba unitumie hata picha ya hayo majani ndugu yangu niyatafute au ukijua jina
 
Kama upo Dar nenda mnazi mmoja mtafute dr Oiso namba yake ni 0767555717 au 0712862761. Achana na madawa ya kuambiwa. Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tanga na nimeonan pia n hyo specialist w ngozi wa huk daw alizonipa ndo hizo loratadine lakin hazij nisaidia nmerudi amesem nkae mwez mmoj bila kutumia daw yyte lakin huo mwenz kwangu ni kam karne kw jinsi nnavyowashwa
 
Habari zenu jamani naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nmefanya kama mashilingi ni mwezi wa6 sasa npo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakin hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie
Kuna mti flani ni dawa, ndani ya siku 3 umepona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Tanga na nimeonan pia na huyo specialist w ngozi wa huk daw alizonipa ndo hizo loratadine lakin hazij nisaidia nmerudi amesem nkae mwez mmoj bila kutumia daw yyte lakin huo mwenz kwangu ni kam karne kw jinsi nnavyowashwa
Tumia celestamine asubuhi moja na usiku moja. Itaondoa muwasho hadi hapo utakapo pata tiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom