Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Joined
May 11, 2020
Posts
41
Reaction score
42
Habari zenu jamani,

Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
 
Kwakeli sijakalia figa lolote ilianza kam vipele vipo round vidog vidogo sana
Pole.

Ushaenda hospital kucheki damu kama ni safi ili kama siyo wakupe dawa za kusafisha? Maana damu ikiwa haiko sawa unaweza tokewa na kipele na mwishowe kuwa vipele vinavyowasha..Dawa hizo ni za kuhara, zinasafisha damu.

Na pia ucheki ishu ya minyoo nayo inaletaga hii hali ili ka vp utumie dawa za minyoo.

Mara ya mwsho kutumia hizi dawa ni lini?
 
Pole.

Ushaenda hospital kucheki damu kama ni safi ili kama siyo wakupe dawa za kusafisha? Mana damu ikiwa haiko sawa unaweza tokewa na kipele na mwishowe kua vipele vinavyowasha..Dawa hizo ni za kuhara, zinasafisha damu...
Nilienda wakanambia kuwa nikae mwezi mzima bila kutumia dawa sasa siwezi tatizo ninawashwa sana hadi najichubua n kujitoa damu
 
Habari zenu jamani naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nmefanya kama mashilingi ni mwezi wa6 sasa npo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakin hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie
Hebu picha tuone aina za hizo shilingi tu suggest tiba.

semper fidelis
 
Pole.

Ushaenda hospital kucheki damu kama ni safi ili kama siyo wakupe dawa za kusafisha? Mana damu ikiwa haiko sawa unaweza tokewa na kipele na mwishowe kua vipele vinavyowasha..Dawa hizo ni za kuhara, zinasafisha damu...
Mpaka nimemaliza dawa zinaitwa loratadine juzi ambazo nimemeza mwezi mzim na bdo hakuna nafuu
 
Nilienda wakanambia kuwa nikae mwezi mzima bila kutumia daw sasa siwez tatizo ninawashwa sana hadi najichubua n kujitoa damu
Umepima allergies ile ukifika hospitali wanakuchanja na sindano

Lakini pia cheki kama unaoga maji ya baridi itumie ya moto

Pia eneo unaliishi mazingira yakoje je ni joto au baridi etc
 
Mpaka nimemaliza dawa zinaitwa loratadine juzi ambazo nimemeza mwezi mzim na bdo hakuna nafuu
15897412096491397665791907822074.jpghyo ndo hali yangu jaman
 
Unaweza kunitumia picha ya tatizo Pm nione ni changamoto gani? Pengine naweza kukushauri natural remedies za kukusaidia. Maana naona umetumia sana antifungal na antibitiocs bila mafanikio.

NB: Nipo serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom