Fatma Abrahman1
Member
- May 11, 2020
- 41
- 42
- Thread starter
-
- #21
Hizo sindano za allergy nimechoma mpaka wamenmbia nisichome tena zitanletea matatizo mkubwaUmepima allergies ile ukifika hospitali wanakuchanja na sindano
Lakini pia cheki kama unaoga maji ya baridi itumie ya moto
Pia eneo unaliishi mazingira yakoje je ni joto au baridi etc
Hili ndo tatizo.Nimefanya hivyo ila daw napew zlezle
Sijawahi fanya na wala sifikirii kuufanyaPole sana aisee.
Ule mchezo hujawahi fanya?
Jaribu embu kuangalia na tiba mbadalaSijawahi fanya na wala sifikirii kuufanya
Angalia PM ykoHabari zenu jamani naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nmefanya kama mashilingi ni mwezi wa6 sasa npo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakin hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie
Ndo ninachoomba kusaidiwa ipi ni tiba maan nateseka wallhy sjui ni mtihani gan mungu amenipaJaribu embu kuangalia na tiba mbadala
Tanga
Naomba unitumie hata picha ya hayo majani ndugu yangu niyatafute au ukijua jinafatma pole sana.mi nilikuwa na tatizo kama lako miaka miwil imepita tena bora hata ww (nmeangalia pcha ulotuma)Mimi ilikuw jua tu likiwaka mwili ukianza kupata joto nawashwa hadi damu inatoka.nikikaa muda mrefu nawashwa ,nikimaliza kuoga nawashwa hatari,nikilala nawashwa...
Nipo tanga miePole mkuu.
Nenda Hospitali onana na specialist wa magonjwa ya ngozi...
OK kesho ntakutumia pchaNaomba unitumie hata picha ya hayo majani ndugu yangu niyatafute au ukijua jina
Nipo tanga na nimeonan pia n hyo specialist w ngozi wa huk daw alizonipa ndo hizo loratadine lakin hazij nisaidia nmerudi amesem nkae mwez mmoj bila kutumia daw yyte lakin huo mwenz kwangu ni kam karne kw jinsi nnavyowashwaKama upo Dar nenda mnazi mmoja mtafute dr Oiso namba yake ni 0767555717 au 0712862761. Achana na madawa ya kuambiwa. Pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran ndugu yangu mungu atakulipa ,
Kuna mti flani ni dawa, ndani ya siku 3 umeponaHabari zenu jamani naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nmefanya kama mashilingi ni mwezi wa6 sasa npo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakin hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie
Tumia celestamine asubuhi moja na usiku moja. Itaondoa muwasho hadi hapo utakapo pata tibaNipo Tanga na nimeonan pia na huyo specialist w ngozi wa huk daw alizonipa ndo hizo loratadine lakin hazij nisaidia nmerudi amesem nkae mwez mmoj bila kutumia daw yyte lakin huo mwenz kwangu ni kam karne kw jinsi nnavyowashwa
Nilishazitumia hizo nilikuwa nakunywa hivyo hazikunisaidia hadi nkawa nakunywa mbili mbili pia hazikunisaidiaTumia celestamine asubuhi moja na usiku moja. Itaondoa muwasho hadi hapo utakapo pata tiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mti gani