Mimi sio daktari, wala sina ujuzi wowote wa kidaktari, lakini najua kwamba fangasi ni wadudu sugu kuliko unavyoweza kudhani!
Kuna watu wanatibu na kuuguza fangasi kwa miezi hata minne! Unahitaji uvumilivu kuyatibu hayo madudu!
Usiseme tu nimetumia dawa sijapona, tizama hizo dawa za fangasi unazitumiaje? Kwa usahihi? Kwa muda gani?
Mazingira unayoishi hayazalishi fangas? Bafuni? Chooni? ndoo za maji? Nguo unazovaa?
Anyway, pole sana.