Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Nawashwa kwenye makalio, yametokea kama mashilingi naombeni ushauri

Mimi sio daktari, wala sina ujuzi wowote wa kidaktari, lakini najua kwamba fangasi ni wadudu sugu kuliko unavyoweza kudhani!

Kuna watu wanatibu na kuuguza fangasi kwa miezi hata minne! Unahitaji uvumilivu kuyatibu hayo madudu!

Usiseme tu nimetumia dawa sijapona, tizama hizo dawa za fangasi unazitumiaje? Kwa usahihi? Kwa muda gani?

Mazingira unayoishi hayazalishi fangas? Bafuni? Chooni? ndoo za maji? Nguo unazovaa?

Anyway, pole sana.
 
Nenda maduka ya Autospares kanunue mafuta ya breki elfu 3 tu yatakusaidia sana..
Paka walau Kila siku Kama unavyopaka mafuta mengine
 
Mimi sio daktari, wala sina ujuzi wowote wa kidaktari, lakini najua kwamba fangasi ni wadudu sugu kuliko unavyoweza kudhani!

Kuna watu wanatibu na kuuguza fangasi kwa miezi hata minne! Unahitaji uvumilivu kuyatibu hayo madudu!...
Absolutely correct brother...
 
Back
Top Bottom