1979magufuli
New Member
- Dec 6, 2024
- 2
- 2
Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu.
Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu Kibisawala akiwapelekea pumzi ya moto waarabu hao ambao ugenini si lolote si chochote.
Ni jambo gumu sana kucheza uwanjani bila mashabiki lakini tuchukulie ndio sehemu ya mchezo, kama tumeweza kucheza na Constantine kwao kukiwa hakuna mashabiki, tukacheza na mashabiki wachache pale ANgola kwanini tushindwe Angole.
Chonde Chonde, Jumapili tukae nyumbani kwetu kuangalia burudani.