Nawasisitiza walezi na wanafunzi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati, kuanza chuo baada ya form 4 ni maamuzi sahihi na hupanua zaidi goli la ajira

Kuna vijana wengi wana hivyo vyeti tupo nao kijiweni tunaendesha boda boda huku tukisikilizia mikeka🐼
Ni kweli, sio wote wanapata kazi walizosomea vyuoni lakini walioajirwa wana vyeti.
 
Mimi mwenyewe ushauri wangu ungekua ni huo..Hata kama mtu una one ya 7 ,Nenda Diploma,chukua ujuzi pita hivi.

Japo hii ni kwa wenye mpunga,maana unafuu wa Advance-Chuo ni kwamba walau makabwela wanapata mwanya wa kuja kuomba mkopo.

N.b Kwa sasa mkopo wa diploma kweli wanatoa,ila kwa wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…