Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma chuo hakujapitwa na wakati,Ukichunguza sana utagundua hata kusoma chuo kumepitwa na wakati
Kuna vijana wengi wana hivyo vyeti tupo nao kijiweni tunaendesha boda boda huku tukisikilizia mikeka🐼Kusoma chuo hakujapitwa na wakati,
Ni lazima uwe na cheti cha chuoni ili uwe Proffesional Engineer, Lawyer, Pilot, Accountant, n.k.
Ni kweli, sio wote wanapata kazi walizosomea vyuoni lakini walioajirwa wana vyeti.Kuna vijana wengi wana hivyo vyeti tupo nao kijiweni tunaendesha boda boda huku tukisikilizia mikeka🐼
Veta ndo elimu sahihi kwa sasa. Integration hazina application popote mtaani.Ukichunguza sana utagundua hata kusoma chuo kumepitwa na wakati