Uchaguzi 2020 Nawatakia Watanzania wote Uchaguzi wenye Baraka na Amani ya Mungu ile ipitayo fahamu zote

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.

Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi chuki wala uadui.

Kazi na Iendelee.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mungu ambariki lissu.

Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.

Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
 
Mungu ambariki lissu.

Ila taarifa za awali nilizopata zimeniuma sanaaaa, yani uchaguzi ni maigizo,matokeo yametengenezwa tayari.

Eee Mungu wewe wajua CHADEMA yangu ipo ktk namna gani mioyoni mwa watu
Wahi mapema ukapige kura yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…