Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mlipokuwa mkiua mlidhani Siri hamuonekani? Mna laana nyie walevi mliolewa kwa damu za wananchi wasio na hatia, mmelaaniwa ninyi na vizazi vyenu kwa uroho wenu wa MadarakaSource ya taarifa yako Tafadhali!
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.
Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi chuki wala uadui.
Kazi na Iendelee.
Maendeleo hayana vyama!

Wa mwisho ndiye mshindiM
Mwisho unaenda kutafuta nini bwashee?
CCM ni nambari One
Dr Magufuli ni nambari One
Wa mwisho ni wa mwisho bwashee!
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.
Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi chuki wala uadui.
Kazi na Iendelee.
Maendeleo hayana vyama!
Amani iko ndani ya moyo wako!Wewe ni mbumbumbu!Badala ya kutanguliza haki unatanguliza amani na baraka.Hiyo amani itatoka wapi bila haki?!