Nawashangaa kwanini wanang'ang'ania kukaa ktk nchi ya watu kwa nguvu. Kama hawataki kuondoka kwa hiyari, wapigwe tu!Wafukuzwe tu, sisi ni nchi mbili tofauti(japo Watanganyika tunaukataa utanganyika wetu) na kama hawatutaki kwao solution ni kuondoka tu, mtu kwao.
Huko juu umeandika vizuri ila hapa kwenye kumalizia umekosea mkuu, sio lazima mpaka watu wapigane ndio wapate suluhisho sisi huku mboni wapo wazanzibari wengi jirani ninapokaa kuna wazanzibari wanaishi vizuri tu na hatujawahi kuwabagua hata kidogo wana nyumba yao nzuri tu sasa tukianza mambo haya itakuaje huku hawaioni hatari hio tukiamua na sisi kujibu unafikiri vilio vitakua kiasi gani?Kama watanganyika hawataki kuondoka kwa hiyari, wapigwe tu, hakuna namna!
Mimi ni Mtanganyika na naukubali Utanganyika wanguWafukuzwe tu, sisi ni nchi mbili tofauti(japo Watanganyika tunaukataa utanganyika wetu) na kama hawatutaki kwao solution ni kuondoka tu, mtu kwao.
Sawa tu... Ujinga ni mwingi sana huku Afrika. Kila mmoja arudi kwake...Ipo siku mtafikia kusema kila kabila likae/liishi kwenye mkoa wake.