Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Anza kuwarudisha wazanzibar waliopo Tanganyika kwanza kabla ya kuendelea na upumbavu wako
Watanganyika hawana shida na wazanzibar. Waache wahamie huku watuletee mbegu ya kiarabu. Wewe hupendi rangi ya kiarabu?
 
Yajayo yanafurahisha. Kwa sasa free lissu, muungano kule, samia hafai, nchi imefilisika, misaada imefungwa,utekaji ndo usiseme yaan patamu kweli. Ila wafanye yote wasipandishe bei ya konyagi saana
 
Ukenge ni kufanya ubaguzi wa kifala fala na kusahau kuwa Tanganyika kuna idadi kubwa ya wazanzibar kuliko hata waliopo Zanzibar na ikitokea wafukuzwe Tanganyika hapo Zanzibar hapataweza kutosha kuishi utawatafutia pa kwenda kwa upumbavu wako
Sasahiyo sisi inatuhusu nini?? Kama wengine wataishi baharini au hawatatosha sisi inatuhusu nini?? Yani nijali kwamba nchi nyingine wataishije?? Huo si ukichaa
 
Visingizio vya kuharibu Nchi vya uongo vikitumika upande wa Tanganyika wawafukuze wazanzibar waliopo Tanganyika utawapokea hapo kwako na kuwapa hifadhi? Acheni ubaguzi wa kipumbavu kila Mtanzania anayo haki ya kuishi popote ili mradi hafunji Amani
Unaposema havunji sheria una maana gani wewe unaejua sheria?
Unapoambiwa huna sheria ya kukaa popote inatakiwa uombe hiyo sheria simple
Mimi sio mbaguzi wala ya kwenu hayanihusu bali naangalia sheria zinasemaje
Twende kwa hoja ila usiwe na jazba kwenye mijadala huru
Lakini unaweza kuendelea kufoka kama unaona utafikisha hoja zako kwani kila mmoja ana haki ya kutoa maoni yake
Mimi Sipo hapa kutetea mtu
 
Hayati baba wa Taifa, aliweka huu Muungano kwa kigezo kimoja kikubwa na muhimu sana, ambacho ni swala la usalama wa nchi, ukaribu tulionao katika ya Tanganyika na Zanzibari...tukiruhusu zanzibar iwe nchi huru ni wazi tutakuwa tumeacha wazi mlango muhimu sana, kama mnavyofaham nchi ikijitegemea ina kuwa na sheria na taratibu zake haziwezi kuingiliwa hivyo maharamia na wabaya wetu ni rahisi kutuathiri kupitia mlango huu muhimu. Ila tukizungumza tunachonufaika hakuna, zanzibari wananufaika zaidi na huu Muungano kuliko sisi watanganyika, hata umeme unaotumika Zanzibari unatoka Tanzania bara, ila kwa tulipofikia hatuna budi kukubaliana na hili, ila Angalizo serikali lazima waweke mikakati mizito sana kwenye mipaka ya bahari, maana kiuzoefu, ndio sehemu ngumu mno kuilinda na ni rahisi kuvamiwa na maharamia. Nawasilisha🙏
Moja ya maneno ya aliekuwa Waziri na sasa marehemu
Mkuu kuna nchi ngapi ambazo zina visiwa karibu na ni nchi zenye uhuru wao na mamlaka yao?
Hawawezi kufanya chochote hata wakiwa na nchi yao kamili.
Au kama alivyosema kuwa atarudi Sultan seriously?
Basi kama tuna fikra hizo bora tutawaliwe tena
 
Yajayo yanafurahisha. Kwa sasa free lissu, muungano kule, samia hafai, nchi imefilisika, misaada imefungwa,utekaji ndo usiseme yaan patamu kweli. Ila wafanye yote wasipandishe bei ya konyagi saana
Hawana pa kuchomokea hawa kenge. Wamebanwa kila kona.
 
Back
Top Bottom