Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Mkuu hivyo sivyo kabisa. ZanID inatolewa kwa wakaazi. Kuna Wazanzibari wapo Zanzibar hivi sasa na hawajapewa ZanID na wamezaliwa Zanzibar, sikuambii waliopo Bara. Kwahivyo si kweli kwamba kama huna hicho kitambulisho wewe ni mhamiaji haramu. Pia nikukumbushe kuwa swala la uhamiaji ni swala la muungano na lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.

Sio kweli kwamba Mtanzania akiwa hana ZanID anafukuzwa. Tuache kusema tusiyoyajua na ya uongo. Haimsaidii yeyote. Sio Mimi, sio wewe na Wala sio mwingine yeyote.
SASA kama ndivyo,ni kwanini ziwepo hizo ZanID?kwanin tusitumie NIDA pekee?
 
Ukisoma katiba ya JMT, Act of the Union na Articles of the Union utaelewa ni kwanini. Jiongeze

Ingekuwa vyema ungeiweka hiyo article!!!mi mkulima wa korosho Masasi huku achilia mbali kuisoma hiyo katiba hata rangi yake tu siijui!

Vip hilo likatiba ndiyo linawapa uhalali wazanzibar kuwa na kitambulisho Chao Cha Taifa mbali na NIDA?Je pia likatiba linasemaje kuhusu nasi WATANGANYIKA kuwa na id yetu?

Naomba unisaidie kuattach PDF ya katiba ya TANZANIA niipitie kidogo,maana nmekuwa nikiitafuta bila mafanikio,Asante.
 
Inatambua kuwepo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Rais na chombo cha kutunga Sheria (BLW) na mahakama. Ikiwa inatambua hilo kama inavyotambua JMT ambayo imetoa NIDA na Zanzibar inayo mamlaka ya kutos ZanID.

Sifanyo kazi hiyo. Ingia mtandaoni, tafuta katiba ya Tanzania ya 1977.
 
Mkuu sina haja ya kutetea sababu nimejifunza kutoka kwa Haraka Haraka, Watanganyika sio wa kuwaamini.
Kwa hiyo umeamua kujitoa sadaka kwa wazanzibar at the expense ya watanganyika mkuu?
 
Inatambua kuwepo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Rais na chombo cha kutunga Sheria (BLW) na mahakama. Ikiwa inatambua hilo kama inavyotambua JMT ambayo imetoa NIDA na Zanzibar inayo mamlaka ya kutos ZanID.
Mkuu unataka kuniambia kwamba wazanzibar wote wana uraia pacha (dual citizenship)?
 
Haiko hivyo. Tanzania ni uraia mmoja na ni katika mambo ya muungano tokea awali. ZanID si kitambulisho/kadi cha uraia. Kinaitwa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi. Hivyo hakuna swala la uraia pacha. Hapa Tanzania hakuna dual citizenship.
 
Hakuna raia wa Zanzibar mkuu? Zanzibar ni nchi au sio nchi?
 
Kwa hiyo umeamua kujitoa sadaka kwa wazanzibar at the expense ya watanganyika mkuu?
Hapana sijajitoa sadaka ni akina Madelu na timu yake ndio wamejitoa sadaka, ila kumbuka tu kuwa hakuna kisicho na mwisho na kwa muovu ambaye amewasaliti ndugu zake mwisho wake ni mbaya atakuwa hana pa kuchutuma.
 
Watanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri mpaka wazanzibar waanze kuwaua kama inavyofanyika kule Afrika Kusini ndipo mng'oke kutoka huko? Ondokeni kwa hiyari jamani.

Kwa mujibu wa sheria, Zanzibar ni nchi huru (Jamhuri ya watu wa Zanzibar). Unapoingia nchini Zanzibar lazima ufuate sheria na taratibu za Zanzibar. Vilevile, Zanzibar ni nchi ya kiislamu. Wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, watanganyika wanaoishi Zanzibar hucharazwa bakora hadharani pindi wakikutwa wanakula. Vipigo hivi ni kwa mujibu wa sheria za nchi ya Zanzibar na haviepukiki. Kama kuna mtanganyika ataona anaonewa anaruhusiwa kurudi nchini kwao Tanganyika. Ukikaa nchi ya watu sharti uishi kwa adabu na kwa kufuata sheria.

Watanganyika ambao hawana kitambusho cha mzanzibar mkaazi, ni wahamiaji haramu kama walivyo wahamiaji haramu wengine. Hata ukiishi kwa kujifichaficha siku ukikamatwa utafurushwa bila shuruti.

MAONI YANGU
Watanganyika mnaoishi Zanzibar kinyume cha utaratibu na bila kuwa na nyaraka muhimu, nawashauri mrudi nchini kwenu bila kuleta taharuki yoyote katika nchi ya watu. Huwezi kushupaza shingo ukitaka uendelee kukaa nchi ya watu wakati hutakiwi. Napenda kuweka wazi kuwa mimi tpaul nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar warudi nchini kwao Tanganyika. Hawana kosa lolote bali wanatetea rasilimali za nchi yao kwa kuwaondoa wahamiaji haramu ambao wamerundikana katika nchi yao pendwa bila sababu za msingi na kinyume cha sheria. Kama watanganyika hawataki kuondoka kwa hiyari, wapigwe tu, hakuna namna!

Nawasilisha.

Pia soma:
Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!​
Tanganyika kuna idadi kubwa ya wazanzibar wanaoishi na kufanya biashara kuliko hata waliopo Zanzibar,

huu ujinga wa kuwaona watanganyika kuwa ni mzigo Zanzibar yafaa ukemewe haraka kwani siku watanganyika wakianza kuwaiga upumbavu wenu ujue itakuwa majanga kwani wazanzibar waliopo Tanganyika ni wengi kuliko hata waliopo Zanzibar
 
Wafukuzwe tu, sisi ni nchi mbili tofauti(japo Watanganyika baadhi tunaukataa Utanganyika wetu) na kama hawatutaki kwao solution ni kuondoka tu, mtu kwao.
Sasa wazanzibar waliopo bara Tanganyika nao wafukuzwe?
 
Huko juu umeandika vizuri ila hapa kwenye kumalizia umekosea mkuu, sio lazima mpaka watu wapigane ndio wapate suluhisho sisi huku mboni wapo wazanzibari wengi jirani ninapokaa kuna wazanzibari wanaishi vizuri tu na hatujawahi kuwabagua hata kidogo wana nyumba yao nzuri tu sasa tukianza mambo haya itakuaje huku hawaioni hatari hio tukiamua na sisi kujibu unafikiri vilio vitakua kiasi gani?

Km hawana nyaraka si wapewe utaratibu wa jinsi ya kuzipata na sio vinginevyo km wakishindwa ndio hatua ya kuwarudisha ifuate ila sio kuwafanyia fujo
Watanganyika wakiamua kuiga Upumbavu wa wazanzibar wawafukuze wazanzibar waliopo Tanganyika watakosa pa kwenda kwani kwa idadi ni wengi sana hata wakirejea Zanzibar hapatoshi kisiwa ni kidogo
 
Nipo na Wazanzibar kwenye hilo,,,, fukuza hizo nyumbu ,, fukuza kabisa..
Upumbavu wako hauna kiwango ni upumbavu wa kutisha sana, sasa watanganyika nao wakiiga upumbavu wako waanze kuwafukuza wazanzibar toka Tanganyika Nchi itakuwa na Amani?
 
Na wenyewe waanze kuondoka nchini mwetu kwa hiyari yao kabla hatujaanza kuwafurusha mmoja baada ya mwingine. Tanganyika ni ya Watanganyika! Na siyo wageni kutoka nchi jirani.

Wazanzibari kwa sasa ni sawa tu na wahamiaji haramu kutoka Malawi, Burundi, Rwanda, Congo, Kenya, nk.
Tanganyika kuna idadi kubwa ya wazanzibar kuliko watanganyika waliopo Zanzibar
 
Back
Top Bottom