Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Sema tu kuwa wadanganyika wamewaudhi Wakizi mkazi
 
😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂 Daa nimecheka tena wafurushwe Wana mdomo sana
Safi kabisa. Ngoja waanze wao halafu watanganyika watamaliza.
 
Sawa tu... Ujinga ni mwingi sana huku Afrika. Kila mmoja arudi kwake...
Yeah. Kila mtu ashinde mechi zake akiwa nchini kwao. Tusichoshane bila sababu za msingi.
 
Huko juu umeandika vizuri ila hapa kwenye kumalizia umekosea mkuu, sio lazima mpaka watu wapigane ndio wapate suluhisho sisi huku mboni wapo wazanzibari wengi jirani ninapokaa kuna wazanzibari wanaishi vizuri tu na hatujawahi kuwabagua hata kidogo wana nyumba yao nzuri tu sasa tukianza mambo haya itakuaje huku hawaioni hatari hio tukiamua na sisi kujibu unafikiri vilio vitakua kiasi gani?

Km hawana nyaraka si wapewe utaratibu wa jinsi ya kuzipata na sio vinginevyo km wakishindwa ndio hatua ya kuwarudisha ifuate ila sio kuwafanyia fujo
Kama huko kwenu Bara hamjawahi kuwabagua hiyo ni choice yenu ila wao hawawataki kwao hivyo inabidi muondoke muwaachie nchi yao na kama mnang'ang'ania huku wenyewe hawawataki inabidi mfurushwe kwa nguvu hata mkipigwa ni sawa tu, it's their country and you're not wanted there.
 
Kama huko kwenu Bara hamjawahi kuwabagua hiyo ni choice yenu ila wao hawawataki kwao hivyo inabidi muondoke muwaachie nchi yao na kama mnang'ang'ania huku wenyewe hawawataki inabidi mfurushwe kwa nguvu hata mkipigwa ni sawa tu, it's their country and you're not wanted there.
Well said 💯%
 
Wabara hawawezi kuwa kikwazo cha ajira kwa wazenj, hapo serikali imeshindwa kutatua shida za wananchi,wakatafuta mbuzi wa kafara.

Kampuni nyingi zilizopo Zenj, recruitment ya wafnyakazi inafanyika Dar! HQ zipo dar! Sasa, unategemea atapata kazi na ni hapo?

Kampuni zinatoka ulaya, zikija Afrika zinaweka HQ Nairobi Kenya, zinafungua matawi TZ, Uganda, unategemea nani atapata ajira wa kwanza, ni mkenya tu! Ndio kinachotokea, Zenj.

Niliwahi kufanya kazi na World mobile, walikuwa pale Michenzani mall, wafnyakazi wote walipatikana Dar, tukaenda zenj, kufunga mifumo ya WIFI.

Kampuni ikihitaji Vifaa, vya umeme, IT, inaagiza Dar kutoka kwa partners wake!

Wazenj, waliishia kuwa vibarua, na madereva wa kusafirisha mizigo, kutoka Bandarini, wahandisi wote, kutoka Bara, Kenya, Ghana!

Ni swala la mfumo,
 
Back
Top Bottom