Wamekita mizizi ehh...Watu wamekita mizizi yao huko, wanaondokaje? Utawapokea wewe uwape cha kufanya?
Wenye nchi hawawataki which translates kwamba nchi ya Zanzibar haiwataki hivyo hamnna budi kuondoka, huwezi kung'ang'ania kukaa katika nchi ambayo haitaki kabisa uwepo wako huko kwao.Watu wamekita mizizi yao huko, wanaondokaje? Utawapokea wewe uwape cha kufanya?
Sasa huo unyonge wazanzibar wanataka ufike mwisho.Wabara hawawezi kuwa kikwazo cha ajira kwa wazenj, hapo serikali imeshindwa kutatua shida za wananchi,wakatafuta mbuzi wa kafara,
Kampuni nyingi zilizopo Zenj, recruitment ya wafnyakazi inafanyika Dar! HQ zipo dar! Sasa, unategemea atapata kazi na ni hapo?
Kampuni zinatoka ulaya, zikija Afrika zinaweka HQ Nairobi Kenya, zinafungua matawi TZ, Uganda, unategemea nani atapata ajira wa kwanza, ni mkenya tu! Ndio kinachotokea, Zenj,
Niliwahi kufanya kazi na World mobile, walikuwa pale Michenzani mall, wafnyakazi wote walipatikana Dar, tukaenda zenj, kufunga mifumo ya WIFI,
Kampuni ikihitaji Vifaa,vya umeme, IT, inaagiza Dar kutoka kwa partners wake!
Wazenj, waliishia kuwa vibarua, na madereva wa kusafirisha mizigo, kutoka Bandarini, wahandisi wote, kutoka Bara, Kenya, Ghana!
Ni swala la mfumo,
Unakita mizizi kwenye nchi ya watu? Ukijenga nyumba ndani ya meta 60 za barabara, ukibomolewa utasema umeonewa? Huwezi kuweka mizizi kwenye nchi ya watu. Utakuwa hujui kuwa hujui.Watu wamekita mizizi yao huko, wanaondokaje? Utawapokea wewe uwape cha kufanya?
Na wanzazibar nao warudishe kwaoWatanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri mpaka wazanzibar waanze kuwaua kama inavyofanyika kule Afrika Kusini ndipo mng'oke kutoka huko? Ondokeni kwa hiyari jamani.
Kwa mujibu wa sheria, Zanzibar ni nchi huru (Jamhuri ya watu wa Zanzibar). Unapoingia nchini Zanzibar lazima ufuate sheria na taratibu za Zanzibar. Vilevile, Zanzibar ni nchi ya kiislamu. Wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, watanganyika wanaoishi Zanzibar hupigwa fimbo kali pindi wakikutwa wanakula. Vipigo hivi ni kwa mujibu wa sheria za nchi ya Zanzibar na haviepukiki. Kama kuna mtanganyika ataona anaonewa anaruhusiwa kurudi nchini kwao Tanganyika. Ukikaa nchi ya watu sharti uishi kwa adabu na kwa kufuata sheria.
Watanganyika ambao hawana kitambusho cha mzanzibar mkaazi, ni wahamiaji haramu kama walivyo wahamiaji haramu wengine. Hata ukiishi kwa kujifichaficha siku ukikamatwa utafurushwa bila shuruti.
MAONI YANGU
Watanganyika mnaoishi Zanzibar kinyume cha utaratibu na bila kuwa na nyaraka muhimu, nawashauri mrudi nchini kwenu bila kuleta taharuki yoyote katika nchi ya watu. Huwezi kushupaza shingo ukitaka uendelee kukaa nchi ya watu wakati hutakiwi. Napenda kuweka wazi kuwa mimi tpaul nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar warudi nchini kwao Tanganyika. Hawana kosa lolote bali wanatetea rasilimali za nchi yao kwa kuwaondoa wahamiaji haramu ambao wamerundikana katika nchi yao pendwa bila sababu za msingi na kinyume cha sheria. Kama watanganyika hawataki kuondoka kwa hiyari, wapigwe tu, hakuna namna!
Nawasilisha.
Pia soma: Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa ZanzibarWatanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri mpaka wazanzibar waanze kuwaua kama inavyofanyika kule Afrika Kusini ndipo mng'oke kutoka huko? Ondokeni kwa hiyari jamani.
Kwa mujibu wa sheria, Zanzibar ni nchi huru (Jamhuri ya watu wa Zanzibar). Unapoingia nchini Zanzibar lazima ufuate sheria na taratibu za Zanzibar. Vilevile, Zanzibar ni nchi ya kiislamu. Wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, watanganyika wanaoishi Zanzibar hupigwa fimbo kali pindi wakikutwa wanakula. Vipigo hivi ni kwa mujibu wa sheria za nchi ya Zanzibar na haviepukiki. Kama kuna mtanganyika ataona anaonewa anaruhusiwa kurudi nchini kwao Tanganyika. Ukikaa nchi ya watu sharti uishi kwa adabu na kwa kufuata sheria.
Watanganyika ambao hawana kitambusho cha mzanzibar mkaazi, ni wahamiaji haramu kama walivyo wahamiaji haramu wengine. Hata ukiishi kwa kujifichaficha siku ukikamatwa utafurushwa bila shuruti.
MAONI YANGU
Watanganyika mnaoishi Zanzibar kinyume cha utaratibu na bila kuwa na nyaraka muhimu, nawashauri mrudi nchini kwenu bila kuleta taharuki yoyote katika nchi ya watu. Huwezi kushupaza shingo ukitaka uendelee kukaa nchi ya watu wakati hutakiwi. Napenda kuweka wazi kuwa mimi tpaul nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar warudi nchini kwao Tanganyika. Hawana kosa lolote bali wanatetea rasilimali za nchi yao kwa kuwaondoa wahamiaji haramu ambao wamerundikana katika nchi yao pendwa bila sababu za msingi na kinyume cha sheria. Kama watanganyika hawataki kuondoka kwa hiyari, wapigwe tu, hakuna namna!
Nawasilisha.
Pia soma: Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!
Machogo(Watanganyika) ni mazoba na wamekubali kuwa watumwa na watwana kwa Wazanzibari hivyo hawana uwezo wa kufukuza hata Mzanzibari mmoja.Siku na ninyi mtakapofurushwa huku Tanganyika ndiyo mtajua!
Kwani lazima kuwaiga. Nyie fanyeni kadri mtakavyoona inafaMothing goes
Nothing goes for nothing!Kwani lazima kuwaiga. Nyie fanyeni kadri mtakavyoona inafaa.
Zanzibar haikuomba Muungano na wala haikuwahi na haijawahi kuwa na shida nao,,, Hizo ndo gharama za Tanganyika kuutaka Muungano,, uvumilivu unahitajika..
Mkuu ina maana unataka kusema kwamba Tanganyika na Zanzibar zimeungana kama mke na mume---kwamba Tanganyika (mume) ndiye aliyeomba muungano na Zanzibar (mke). Kwa hiyo mume anapaswa kuvumilia tabia za mke?Zanzibar haikuomba Muungano na wala haikuwahi na haijawahi kuwa na shida nao,,, Hizo ndo gharama za Tanganyika kuutaka Muungano,, uvumilivu unahitajika..
Kizuri gharama...