Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na Sgr ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Mmgemuachia maisha yake ili tumlaumu kwa haki

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na Sgr ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Hiyo ni miradi ya watanzania hakuuziwa mwarabu
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na Sgr ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?

Aina ya mkataba ndo shida, sema mapungufu ya SGR na Bwawa ya kimkataba?
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na Sgr ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Mbona unachanganya machungwa na mananasi? Bi Kinyogoli Mkwere!

Zile ni tenda tunamchagua nani afanye kazi.

Bandari - Ni Funguo ya lango la nchi

wala hatukatai DPW wakabidhiwe, tusahihishe zile terms. Full stop
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na Sgr ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Tujuze mkuu yaliyomo kwenye hiyo miradi, maana ya Bandari tumejuzwa na waungwana japo wapigaji wanalaum mtumbwi kuingiza maji.
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na Sgr ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Bibi mdini kwenye ubora wako.
Naona unazidi kuchanganyikiwa na bado.
Kwani nini kimeuzwa hapo?...
Vipi kuhusu Ndege unazopanda kila siku?..
 
SGR na JNHPP hazijauziwa mtu. Wale wamepewa kazi ya ujenzi wa miundombinu ikikamilika wanaondoka.

Huyu kauza bandari yetu kwa waarabu waitumie miaka wanayotaka hadi mwisho wa Dunia.

Leo waziri mkuu kasema sheria ya TPA ya mwaka 2004 inaipa TPA mamlaka ya bandari zote nchini, sasa iweje za Zanzibar hazijahusika na DP World? Wazanzibari wao hawataki ufanisi ama bandari yenye ufanisi mdogo ni ya Tanganyika tu?

Samia na Mbarawa wakauze bandari za kwao, waache bandari zetu.

Samia hawezi kua anaipenda Tanganyika kuliko anavyoipenda Zanzibar na hata yeye alishajutambulisha kama Mzanzibari. Akauze bandari za kwao Zanzibar za kwetu Tanganyika aziache kama zilivyo.
 
Vitu viwili Tofauti.

ila basi...
20141018_MAP004_0.jpg
 
Back
Top Bottom