mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Safi sana, Mkataba una shida gani? Nahamisha hili swali langu kwenye uzoi wenye mkataba ili unioneshe vifungu vyenye matatizo.
Pamoja na hoja nyingi, zenye mifano na nukuu za vifungu tatanishi vya mkataba humu JF, na mitandao ya kijamii, bado unauliza swali hilo[emoji848]
Pitia bandiko hili, najua umekwisha kulisoma, ujiridhishe au ukajibu hoja zake.
Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile
Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...