Erickpaford
Member
- Jun 19, 2023
- 8
- 6
Ilikuwa miradi yetu na haikuwa na terms za ajabu..Magu alikuwa smart sana💪Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?