Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Kwani ubaya wa hiyo mikataba ni ipi?

Ni uchereweshaji tu? Maana pia kwenye kipengele cha mkandarasi kuchelewesha mradi, atapigwa faini

Juzi juzi Mbunge Mpina alilijulisha bunge hasa waziri January kwamba, mkandarasi anafaini ya bilioni of mone, anatakiwa kudaiwa, Rais Samia na waziri hawadai hizo faini,

Shida ni Magufuli au Waziri na Rais?
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
 
Japo unacholinganisha ni tofauti kabisa kwa kila hali (mkataba na uwekezaji), jambo moja litakumbukwa: CCM itafia mikononi mwake kama huo mkataba utatekelezwa jinsi ulivyo. Ukakasi ulioko kwenye huo mkataba utawapa nguvu wapinzani kuiondoa CCM madarakani. Hata fedha ya mafuta ikitumika, kurubuni wapiga kura kupitia wagombea, haitasaidia kuondoa kichechefu cha bandari kugeuzwa lango la Tanzania kutawaliwa tena.
Kafa Nyerere aliyoiuwa TANU kuu fsnya CCM.

CCM ife hata leo, tutahamia ACT. Si vyama vya kibinadam tu.
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Ule utapeli wa dhalimu tulikuwa tunamkosoa humu humu jukwaani kuwa ni mpika data mkubwa, na ushahidi tulikuwa tunaweka. Sio kila mtu alimtetea kwa ukristo wake. Na uzuri ukosoaji wetu kwa dhalimu upo humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom