Kumbe ndo maana this time mkastuka kumlinda mwarabu wenu mkaamua kuingia mkataba ambao hautapigwa chini aingie Rais gani au hata jina la nchi libadilike..Tena Mungu mkubwa sana, Kikwete tayari ile mikataba, SGR ilikuwa kishawapa China, Bwawa kishawapa Brazil, bandari ya bagamoyo alishawapa China na Oman, jamaaa alipoingia tu akaipiga chini yote.
Msilinde uswahiba wenu at the expense ya nchi yetu.