Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe na Faizafox, ninyi nadhani mtakuwa dini ya shetani.Mpagani yule
Shekhe ameulani mkataba, na amewalaani wanaojiita waislam kumbe ni wanafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na Faizafox, ninyi nadhani mtakuwa dini ya shetani.Mpagani yule
Onesha kifungu kilichokufanya usemeKumbuka PCFC ni kampuni inayomilikiwa na Emirate ya Dubai na ikimiliki DPW (100%). Kwa maana hiyo DPW inaingia Tanzania kama balozi kumiliki Bandari na maeneo mengine yaliyoainishwa kwenye huo mkataba batiri. Kwa msingi huo itakuwa vigumu kuvunja mkataba nayo ila kwa njia ya kidiplomasia au mlolongo mrefu kwenye mahakama za UK (Kifungu cha 20 cha huo mkataba batili) kati ya Tanzania dhidi ya Dubai na siyo DPW.
Kwanini utie maneno yako halafu unishutumu mimi kulalamika wakati nimeuweka mkataba kamili post namba Moja, sijaona popote hilo la "ubalozi"."DPW inaingia Tanzania kama balozi"
Hivi wewe hata bunge unasikiliza kweli? Hukumsikia mbunge wa vunjo Dr.kimei anasema alipokuwa mkurugenzi mkuu CRDB alipata wakati mgumu maana akaunti za wateja zilikuwa zinazuiliwa (blocked)? na fedha zinachukuliwa?ushahidi
Bofya chini, halafu uje useme ni nini hicho:ushahidi
Hivi wewe hata bunge unasikiliza kweli? Hukumsikia mbunge wa vunjo Dr.kimei anasema alipokuwa mkurugenzi mkuu CRDB alipata wakati mgumu maana akaunti za wateja zilikuwa zinazuiliwa (blocked)? na fedha zinachukuliwa?
Bofya chini, halafu uje useme ni nini hicho:
MCL: DPP kurudisha fedha za 'plea bargain' kwa waliodhulumiwa
DPP kuachia mabilioni ya fidia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu akizungumza na waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd wakati wa mahojiano maalumu Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Picha Sunday George Wakati baadhi ya wanasheria na wadau mbalimbali...www.jamiiforums.com
Serikali ya Tanzania haina dini, ila wananchi wake wana dini na Imani zao.Nakwambia ingekuwa patashika nguo kuchanika.
SGR Dar - Moro tuliwanyima wachina tukawapa waturuki waislamu. Angefanya hii Mama Samia sijui wale wakristo wenzangu ingekuwaje
Umemzikiliza pro shviji lakini au unaongea tu kwakua una mdomo na mikono ya kuandika nyuma ya keyboardNdiyo zenu hizo, kila mkishindwa hoja mnakimbikia dini.
Kwani kinachopingwa bandarini ni nini zaidi ya dini?
Mbina hamuisemi MoU ya bandarini ya Dollar Million 500?
Mama Samia kauza nini kwa Dollar million 500?
Semeni TICTS walitoa ngapi kabla ya kuanza kazi na kwa. Miaka yote ameleta faida upi?
Mwarabu jajaanza kishawekeza Dollar million 500.
Unaelewa hilo au huelewi?
Rudia kusoma thread uliyo andika afu soma comment moja moja hadi hapa mwisho pima akili yako kama unajielewaMkataba upi uanoupinga?
Mimi nnauhakika wewe unapinga hewa tu, hukielewi hata unachokipinga ni nini.
Ni kweli kabisa. Kuna MOU ya 2020. Hiyo haizungumzwi kabisaKwa kuwapa tenda waturuki na Wa Egypt nakubaliana na Hamza Johari kuwa mkataba wa DP World uliasisiwa na JPM.
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Soma kwa undani Kifungu cha 20 na cha Tafsiri iliyotolewa ya DPW kwa pamoja, utaelewa nina maana gani n DPW kuwa ni kampuni ya kuwakilisha Emirate ya Dubai badala ya kuwa kampuni ya uwekezajiOnesha kifungu kilichokufanya useme
Kwanini utie maneno yako halafu unishutumu mimi kulalamika wakati nimeuweka mkataba kamili post namba Moja, sijaona popote hilo la "ubalozi".
Unazuwa?
kama hiyo ndo hoja yako basi tuna safari ndefu kumbe huyu mama samia atawaumiza nafsi zenu sana msipojicontrol mtajipatia magonjwa ya moyo maana mnaumia na kasi yake.Kimei huyo anayeumia hakuchaguliwa kuwa waziri wa fedha!!!?? aiseeee
Kuna neno ubalozi au hilo umeezusha wewe tu?Soma kwa undani Kifungu cha 20 na cha Tafsiri iliyotolewa ya DPW kwa pamoja, utaelewa nina maana gani n DPW kuwa ni kampuni ya kuwakilisha Emirate ya Dubai badala ya kuwa kampuni ya uwekezaji
Mtajibalaguza hadi gagu ziwalegee ...Hatutaki huu Mkataba!Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?